Saturday, March 29, 2014

MISS IFM YAZINDULIWA trh.....

March 28 IFM imefanyika party ya uzinduzi
wa Miss Ifm 2014 ambapo kulingana na
umaarufu wa washiriki hao kutoka chuo cha
Ifm hupelekea kutoa washiriki kwenda ngazi
ya Miss Tanzania ambao hutengeneza rekodi
nzuri kwenye mashindano hayo.
Uzinduzi huu ulihudhuriwa pia na Mkurugenzi
wa Miss Tanzania Hashim Lundenga,Martin
Kadinda na Nickson George ‘Lugha Kali’ kutoka
Clouds Tv ambaye ndiye alikua muongozaji wa
shughuli hiyo ambayo ilisindikizwa na
burudani toka kwa Mirror wa Endeless Fame.


Posted via Blogaway

No comments:

Post a Comment