Wednesday, July 16, 2014

HAYA HAYA...MATOKEO YA KIDATO CHA SITA YAMETOKA...CHEKI JINA LAKO HAPA

Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 -21, yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III.

Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825.

Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54.Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

SHULE 10 ZILIZOONGOZA
1. Igowole
2. Feza Boys
3. Kisimiri
4. Iwawa
5. Kibaha
6. Marian Girls
7. Nangwa
8. Uwata
9. Kibondo
10. Kawawa

SHULE 10 ZA MWISHO
1. Ben Bella
2. Fidel Castro
3. Tambaza
4. Muheza High School
5. Mazizini
6. Mtwara Technical
7. Iyunga technical
8. Al- falaah Muslim
9. Kaulia
10. Osward Mang'ombe

JE WAJUA ALICHOZUNGUMZA BABA YAKE NUH BAADA YA KUSIKIA KUA MWANAWE AMEJICHORA TATOO YA SHILOLE??...BOFYA HAPA

Alichokisema Baba yake Nuh
baada ya kusikia mwanae
kajichora tatoo yenye jina la
Shilole.
Wiki kadhaa zimepita tangu Nuh
Mziwanda aamue kujichora tatoo
yenye jina la mpenzi wake Shilole leo
baba yake mzazi kazungumza juu ya
hatua hii aliyoamua kuifanya mtoto
wake Nuh kwa upande wake.