Saturday, May 10, 2014

Kwa wanaume tu:NJIA RAHISI ZA KUMFANYA MWANAMKE AFIKE KILELENI MAPEMA...

"Kuna njia
mbalimbali za kumuongezea wigo mwanamke kufika kileleni
na kuna kitu kimoja wanawake wote husema, "Kufika kileleni
huitaji utulivu wa akili na hisia!"
Kama ukimweka mwanamke kwenye mazingira mazuri kiakili
na kihisia, kuna uwezekano mkubwa na mwili wake kufuata
na kumfanya afike kileleni.
Japo wanawake wanatofautiana, tumejaribu kuongea na
baadhi ya wanawake na wametumegea siri na kutupa njia
nzuri ya kumfikisha kileleni mwanamke kwa haraka, japo
ilikua mpaka tulipowapa baadhi ya siri zetu za kiume kidogo
ndo wakalainika kutuambia...
Kama ukitaka kumfikisha kileleni kwa haraka, ni vizuri
mwanamke ukamweka juu yako ili aweze kudhibiti kasi,
msuguano na engo ya uume wako ndani yake, japo nawe
unaweza kupata matamanio ya kumsaidia, ila ni vizuri
ukamwacha  mwenyewe ili usije kumharibia kasi anayoitaka
yeye na kuitumia.
Inabidi upambane na matamanio yako na uendelee kutulia
na umsikilize anataka wewe ukaeje ili ajiongezee msisimko
zaidi na kwa sasa inabidi uutulize mwili huku mikono yako
ikishughurika na uitumie vizuri, unaweza kuwa unampapasa
sehemu za makalio yake au nyuma ya kichwa chake sehemu
za shingoni mpaka kisogoni kwa hali ya kimahaba, na kama
umekaa wima utajiongezea pointi zaidi kwa kumbusu
shingoni na kuongea maneno mazuri ya kimahaba na
kumsifia kwa uzuri wake na sifa nyingine.


Posted via Blogaway

No comments:

Post a Comment