Friday, August 15, 2014

Cheka kidogoo huku unasindikiza jion yako

Mchaga aliona tangazo limeandikwa
Mpare Hospital, tunatibu kila ugonjwa
kwa laki 1, tukishindwa tunakupa ww
laki 2, mchaga akaitamani ile laki 2,
akaenda, akamwambia Dk Mpare: i hv
lost ma sense of taste, Dk Mpare
akamwambia nesi, Mpe Mchaga dawa
ya chupa namba 22, nesi akamnywesha
Mchaga, Mchaga akashauti STOOOP ni
mkojo! Dk Mpare akwamwambia
Mchaga, congrats u hv recovered ur
sense of taste.
Mchaga akaumia sn kapoteza laki 1
yake, akajipanga upya akaenda tena
hospital, akamwambia Dk Mpare: I hv
lost ma memory, I dont even
remember my name. Dk Mpare
akamwambia nesi, mpe Mchaga dawa
ya chupa namba 22, Mchaga akashauti
NOOOO dawa ya chupa namba 22 ni
mkojo kwa matibabu ya sense of taste!
Dk Mpare akamwambia Mchaga:
congrats u hv recovered ur memory.

****####****###**
demu: mambo vp mpenzi
Jonii: poa tuu nambie malikia angu
Demu: just miss u baby
Jonii: thanx
Dem: afu baby ninashida ya pesa
kidogo kwa ajili ya kusuka
Jonii: km shilling ngapi mpenzi
demu: elfu hamsini tuuu baby
Joniii: ok ngoja nikutumie now
Dem: oh nawait baby love uuuuu
Baaada ya mda kidogo dem anapokea
sms ya m pesa anatabasamu inakua hivi
Demu:: jaman baby mbona
umenitumia 500 badala ya 50000
Jonii: itakua sifuri nyingne zimefutika
Demu:: nyooo we sema huna ela
mwanaume suruwali wewe
Jonii: ehhhhh ulitaka niwe mwanaume
sketi!

No comments:

Post a Comment