Tuesday, August 12, 2014

USHAHIDI WA CHRISS BROWN NA RIHANNA KURUDIANA...bofya hapa kuchek picha

Baada ya siku moja tu Chris Brown
ku-post poster la tour ya Rihanna na
Eminem kwenye instagram, Chris
Brown ameonekana kuendelea
kuongeza ukaribu zaidi na Rihanna.
Japokuwa picha haipo clear sana
lakini inaonyesha Chris Brown
alivyokwenda back stage ambapo
alikuwepo Rihanna kwenye moja ya
show za tour hiyo.
Picha haionyeshi vizuri lakini kuna
mashahidi wengi wanasema kwamba
Chris Brown alikuepo backstage
akiwa na Tyga na welienda kwa ajili
ya Rihanna.

No comments:

Post a Comment