..BUBU MMOJA ALIULIZWA JINA LAKE. AKAJIBU KWA ISHARA: AKASHIKA KOO NA MBOO. MKALIMANI AKASEMA "HUYU ANAITWA KO MBO". AKAULIZWA UNAKAA WAPI. BUBU AKAVUA NGUO NA KUONYESHA MKUNDU WAKE MKALIMANI AKASEMA "HUYU ANAKAA HUKO KUNDUCHI". AKAULIZWA KWENU WANAONGEA LUGHA GANI. BUBU AKASHIKA KISU NA AKAMSHIKA DADA MMOJA SEHEMU ZA SIRI, DADA AKAWA MKALI NA KUTAKA KUPIGANA NA BUBU. MKALIMANI AKASEMA "HAPANA DADA HUYU ANA MAANA HUKO KWAO WANAONGEA KISU KUMA". CHEZEA BUBU WEWE!!
#######################
Mzee mmoja aliongozana na binti yake kwenda kwa mwanaume aliyempa mimba huku akitweta kwa hasira. Walipofika ilikua hivi: Mzee, wewe ndiye ulimpa mimba bint yangu?
KIJANA: Mzee ni kweli mimi nimempa mimba binti yako, ila akizaa dume nitakupa daladala kumi, sheli 3 na milioni 50 za mtaji. Akizaa jike, nitakupa supermarket 3, mashamba 6 na milioni 40.
BINTI AKADAKIA: Je mimba ikitoka?
MZEE: Nyamaza mshenz ww, si atakupa nyingine... N hatareee aisee.
No comments:
Post a Comment