Tuesday, September 16, 2014

YANGA NI SHIDA TUPU

Baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-0 katika mechi ya Ngao ya Jamii juzi kwenye Uwanja wa Taifa, Kocha Msaidizi wa Azam, Kally Ongala, amefunguka na kueleza kuwa timu yao ilizidiwa kiufundi katika mechi hiyo.

Akizungumza na NIPASHE mara baada ya mechi hiyo, Ongala alisema makosa yaliyojitokeza watayarekebisha kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi ambapo wao wataanza kampeni ya kutetea ubingwa wao dhidi ya Polisi Morogoro kwenye Uwanja wa Azam Complex.

"Ni bora kufungwa leo kuliko kufungwa kesho, hii itatusaidia kurekebisha makosa kabla ya kuanza kwa ligi, kwa kweli walituzidi kiufundi," alisema Kally ambaye marehemu baba yake alikuwa mwanamuziki maarufu nchini.

Aliongeza kuwa, kupoteza kwa mechi hiyo haiashirii kikosi chao kitaanza vibaya msimu wa ligi.

Katika mechi hiyo Azam ilimkosa nahodha na mshambuliaji wake mahiri, John Bocco, ambaye alikuwa majeruhi.

Kwa upande wa Kocha Mkuu wa Yanga Mbrazil Marcio Maximo, yeye alitamba kuwa kikosi chake kina nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kutokana na kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji wake katika mchezo huo.

Hata hivyo, Maximo alisema licha ya mshambuliaji mpya wa timu hiyo kutoka Brazil, Genilson Santana 'Jaja', kufunga mabao mawili ya kwanza, bado mchezaji huyo anahitaji muda zaidi kujifunza soka la Tanzania. 

Maximo alisema amefurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji wake hasa katika kipindi cha pili ambacho kilizaa mabao yote matatu.

Alisema anaamini kwa kiwango hicho, Yanga itaweza kurejesha ubingwa ambao ilipokonywa msimu uliopita na Azam ya jijini Dar es Salaam na timu hiyo iliyokuwa chini ya Mholanzi, Hans van Pluijm na msaidizi wake, Boniface Mkwasa. 

Kocha huyo alisema kikosi chake kinajipanga kukabiliana na ushindani na changamoto mbalimbali kutoka kwa timu zote zinazoshiriki ligi hiyo ya Bara yenye timu 14.

"Nina furaha sana leo (juzi), tumeshinda na hii inamaana kwamba kikosi kiko tayari kuanza kusaka ubingwa wa ligi, tumefunga kurasa ya kuufikiria mchezo wa Ngao ya Jamii, tunawaomba mashabiki wa Yanga waendelee kutuunga pia katika mechi za ligi zinazotarajiwa kuchezwa Morogoro, Kagera na Mtwara," alisema Maximo.

Alisema Jaja na mshambuliaji mwingine wa timu hiyo, Andrey Coutinho, wanahitaji muda wa kujifunza vitu mbalimbali vya hapa nchini vya kiufundi, chakula na mazingira kama ambavyo wachezaji Watanzania wanavyokwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi.

"Sasa akili yetu ni kuanza kampeni mpya ya kujiandaa na mechi dhidi ya Mtibwa Sugar, tunaanza mazoezi rasmi Jumanne (leo) kwa ajili ya mchezo huo ambao utakuwa ni mgumu kutokana na wachezaji pamoja na kocha wao (Mecky Maxime) wananijua na kuufahamu mfumo wangu," alisema Maximo.
 

burudani

MBUNGE WA ZANZIBAR ALLY KESSYNALETA VIMBWANGA BUNGENI

MP speed, Ally Kessy, yesterday was sparked again bustle and lead the activities of the Constituent Assembly of the Constitution stand for approximately 45 minutes, after attacking colleagues of the Parliament of the Republic of the Union from Zanzibar. MP said lawmakers in Zanzibar and their wives, are funded their lives and Tanganyika with Zanzibar if does not give any contribution for the financing of the Union. Gave a speech yesterday being the last day of the parliamentary constituency to contribute to the draft Constitution before preparation for the proposed Constitution itakayopigiwa a referendum by the people.Kessy He said in the Parliament of the Republic of the Union, there are MPs in Zanzibar 83 who funded them and their families to rent in Tanganyika, something is not right and is a nuisance to Tanganyika. "We're talking about the Constitution and the Constitution can not be written without foundation as you build the house. You can not start without foundation and the foundation is the Union as it is, not to danganyane here ... here we have united the two countries that are free, Zanzibar and Tanganyika, every country gained independence in his way, "he said. added: "Brothers, we Tanganyikans've talked many times even within Parliament, we carry an unnecessary burden, to the Parliament of the United Republic no MPs from Zanzibar 83, these legislators 83 are funded by taxes Tanganyikans ... are a nuisance. " "Tunawatibu they, their children as well as his use of tax Tanganyikans ... when my constituency (speed) no water, we gave fare from Zanzibar to Dodoma to and fro, maintenance of vehicles, fuel ... my brothers, this union would discuss the Constitution flowed well, everyone bear his cross can not connect us not Fuge disease as deadly itatuumbua ... this is the United fragile not to danganyane, we should not hide our citizens as we united, everyone bear his burden, "he said. said during the Committee's sessions, they called the Governor of the Central Bank, Professor Benno Ndulu, Secretary General of the Ministry of Finance of Tanzania Mainland and the Zanzibar for a seminar on MPs who all told that Zanzibar had never contributed anything in the United Republic of Tanzania. "Brothers, this is the country they know we asked ... the public do not accept, carry our burden when our citizens have no desks, no medicine, no water, but we afford expensive means to wage goes to Zanzibar sometimes from the mainland, this should not fichane will only know the people, "he said, adding: "Today Zanzibar divide the states as they want, because the guardian is the father to the no cost, as I will be like the birth defects, I bear my father gave care for children because I cost does not have enjoyment only, so this must mbizane truth. "  Kessy said she had wanted to explain about the structure of the Union and they would be required to go while they built a house on when there is no basis. Yet , while Kessy speaking, he stood Fatma Ahmed Saleh, to give notice. Fatma said the union has been reflected to the right of the merger agreement that the two sides have signed on in the same document that kulipoundwa Parliament of the United Republic of Tanzania. "It is not true that Zanzibaris are loved paid or Zanzibar we want things slopes, Kessy should ask us to apologize for it, "he said.Nevertheless, Kessy said he did not apologize because even the Governor of the Central Bank, Ndulu talked about it. "We can not bear the burden of MPs 83, bring them here tuwatibie you, children and your wives ... this we do not agree with them at all, "said Kessy.  situation has sparked violence in the Legislative Assembly after Zanzibaris to come up with many requesting guidance and other requested information. Nevertheless, the statement reported ilimuudhi Kessy who told the delegates that information and guidelines will be issued after he (Kessy) finished talking and that they should be quiet to listen to what they hear. "Statement shall give later I finish talking, now supposed to be patient because I spoke how the structure will be like, now reported clock ticks my time would be lost in vain," he said. Kessy said while Union was established Government of Zanzibar contributed, but after the late Karume died, they never donate again. But the continued tossed into the parliament, as Zanzibaris they remained close range w

rong things Kessy while others call him a crook and others are said to be He is not a Tanzanian but Arab.
Another member, Abdallah Sharia Ameir, was overheard saying to Kessy be an Arab and Kessy told him that it was Congolese.  however, these words do not yakumvunja power Kessy, as he went on to say the Constitution that is supposed to write clearly that each person will carry his own load . situation has sparked disagreement and member Juma Ally Khatib said: "The Statement Chairman, Mr. Chairman, the language used by a member irritating, irritating, these yameshapitwa time, this master tukera, we are here we legally and in accordance with the Constitution, he tukera and insult us ... it's not systematic, not tudhalilishe, "he said. Moreover, Khatib wanted him Chairman of the Parliament's protect his seat properly because Kessy had used insulting Zanzibari and that it was not the first time insulted while in Parliament."Mr. Chairman, this master wanted to hit to members of the CUF superficially from his statements, so if you do not guard your seat maybe this katumwa ... we members do not want to see language zinazoudhi are used within this Parliament, "he said. delegates the continued exchange of words while others called Kessy crook he was responsible that they are crazy because they come here and eat taxes Tanganyikans.Yet, while it continues, the Chairman of the Parliament, he allowed Speaker Anne Makinda, who stood up and prayed to report and said the delegates have done a very good job up until then, when it should not and reason. " Men members, you have done a very good job. First for mutual understanding and to learn to move the base, actually I did not exist, but from I arrived I found that we have learned so much ... so coming things and how this may I tuvidharau and proceed with our process, "said Makinda. WASSIRA And Secretary of State, Office President (Relations and Coordination), Stephen Wassira, asked members to abandon the debate on 'Go ahead because the Union of Tanzania and Zanzibar ukutokana and wealth. said based on a unified national regimes was the defense and security. "And in this, there is no remaining apostle, should the country Our Zanzibar and mainland secure and our peace, and not the price ... We unite people and not pulling the money, "he said. Wassira said Kessy he is talking about these issues many times and has tried to mentor him several times. "It really is his opinion, but Kessy no other comments have cost ... and its costs may not have any meaning to you, "he sema.Aidha, advised Kessy be careful with his tongue because the war in the world is introduced to the tongue and created by man. HAMAD RASHID For his part, Hamad Rashid, said: "We need to be patient, work remaining is small, these angry zisitubabaishe we come on line." said union is the blood as in 1957, the South decided to liberate every place where there still seemed to discrimination and colonial rule.


Monday, September 15, 2014

JE WAJUA KUA FEDHA ZILIZOTUMIKA KATIKA MAANDALIZI YA KATIBA MPYA ZINGEWEZA KUTANDIKWA BARABARA YA KUTOKA DAR MPAKA....

Taifa linaelekea kupata hasara kubwa
ya zaidi ya Sh. bilioni 120 baada ya
kushindwa kupatikana kwa katiba
mpya kama ilivyokusudiwa.
Kiasi hicho cha fedha zitakazopotea
bure kinatokana na makadirio ya
jumla ya fedha zitakazojumuisha
mchakato wote uloiodumu kwa zaidi
ya mwaka mmoja sasa, ukianzia
wakati wa kuundwa kwa Tume
Maalum ya Mabadiliko ya Katiba na
pia kuwapo kwa vikao vya Bunge
Maalum la Katiba vinavyoendeloea
mjini Dodoma na kutarajiwa
kusitishwa Oktoba 4 mwaka huu.
Uchunguzi uliofanywa na NIPASHE na
kuwahusisha wachambuzi mbalimbali
wa masuala ya siasa na uchumi
umebaini kuwa kwa kukadiria, ikiwa
wajumbe wote waliopo bungeni hivi
sasa watakuwa wakihudhuria kila
kikao katika ngwe ya pili iliyoanza
Agosti 5, maana yake ni kwamba kila
mmoja ataondoka na Sh. milioni 12.9
za posho za siku 43 za kazi pamoja
na fedha nyingine kiasi cha Sh.
4,140,000 zitakazotokana na posho
watakayoipata katika siku 18
zisizokuwa za kazi.
Inaelezwa kuwa wajumbe hao hulipwa
posho ya Sh. 300,000 kila mmoja
katika siku za kazi wanazohudhuria
kikao huku wanapokosa kikao kwa
ruhusa maalum, pamoja na siku
zisizokuwa za kazi hupokea posho ya
Sh.230,000.
Hadi sasa, wajumbe waliojisajili
baada ya kuanza kwa ngwe ya pili
wanakadiriwa kuwa 528, idadi ambayo
haihusishi wajumbe 101 wakiwamo
wanaotoka katika kundi la Umoja wa
Katiba ya Wananchi (Ukawa) ambao
walisusia vikao hivyo tangu April 16,
2014 wakipinga kubadilishwa kwa
rasimu iliyowasilishwa na Tume
iliyoongozwa na Warioba kutokana
maoni yaliyokusanywa kutoka kwa
wananchi.
Inaelezwa kuwa kwa hesabu hizo,
jumla ya kiasi cha fedha
kitakachotumika tangu kuanza tena
kwa Bunge hilo Agosti 5 hadi Oktoba
4 kitapanda zaidi kwani hadi
kusitishwa kwa bunge hilo katika
awamu hii ya pili, kila mmoja
atakayehudhuria bila kukosa atapokea
jumla ya Sh. 17,040,000.
Hadi kufikia mwishoni mwa wiki
iliyopita hakukuwa na takwimu rasmi
kutoka ofisi ya Bunge Maalum la
Katiba kuhusiana na idadi ya
wajumbe waliopo kwenye bunge hilo
linaloendelea mjini Dodoma.
Hata hivyo, inakadiriwa kuwa
wajumbe wa Bunge hilo waliopo nje
ni wabunge 62 kutoka kambi ya
Upinzani bungeni, wajumbe 30 wa
Chama Cha Wananchi (CUF)
wanaotoka katika Baraza la
Wawakilishi huku wajumbe wengine
wakiwa ni pamoja na wafuasi wa
vyama vinavyounda Ukawa vya Chama
cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), NCCR-Mageuzi na pia
CUF, walioingia kupitia kundi la
wajumbe 201 walioteuliwa na Rais
ambao miongoni mwao ni pamoja na
Profesa Ibrahim Lipumba, Profesa
Abdallah Safari, Julius Mtatiro na
Mchungaji Christopher Mtikila wa DP.
Fedha nyingine zilizotumiwa na taifa
kugharimia mchakato huo ni Tume ya
Mabadiliko ya Katiba iliyotumia Sh.
bilioni 67.888 katika kipindi cha
takribani mwaka mmoja wa uhai
wake, ukarabati jengo la Bunge
ukigharimu Sh. bilioni 8.6 na awamu
ya kwanza ya Bunge hilo ikitumia Sh.
bilioni 27 kwa siku 67; hivyo gharama
za jumla kuwa zaidi ya Sh. bilioni 120
TUME YA KATIBA
Iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya
Katiba ilitumia takribani Sh. bilioni 69
ambazo Waziri Kivuli katika Wizara ya
Katiba na Sheria, Tundu Lissu,
aliwahi kueleza bungeni kuwa ni
kufuru.
Katika bajeti ya mwaka wa fedha
2013/14, Bunge liliidhinisha Sh.
bilioni 33.944, sawa kiasi kile kile
kilichoidhinishwa mwaka wa fedha
uliopita.
Fedha hizo zilitumika kulipa posho
kwa wajumbe na maofisa wengine wa
tume, usafiri, nyumba kwa waliokuwa
wanatoka nje ya Dar es Salaam na
chakula.
Kadhalika, katika fedha hizo, Serikali
pia iliomba Sh. milioni 18 kwa ajili ya
kugharamia chakula kwa Wajumbe wa
Tume na Sekretarieti watakaopata
maambukizi ya ukimwi.
UKARABATI BUNGE
Taarifa zinaeleza kuwa Sh. bilioni 8.6
zilitumika kukarabati ukumbi wa
Bunge ili kuweza kuhudumia wajumbe
629 na miundombinu yake na kuweka
vifaa vya kisasa vikiwamo vya
usalama.
Ukarabati ulihusisha jengo la bunge
na miundombinu yake kwa kuweka
viti vipya 678 vilivyofungwa kwenye
ukumbi huo uliokomba Sh. bilioni 1.6,
kurekebisha mfumo wa sauti uliokuwa
hausikiki vizuri na kuweka baadhiya
vipaza sauti, kuweka vioo
visivyopenyeza risasi, paa na Idara ya
Kuhifadhi Kumbukumbu za Bunge
(hansard).
BUNGE MAALUM
Mei mwaka huu, Waziri wa Fedha,
Saada Mkuya, alikaririwa akisema
Serikali ilitumia Sh. bilioni 27
kuendesha Bunge Maalum la Katiba
kwa siku 67 za awali kabla ya
kusitishwa kupisha Bunge la Bajeti.
Bunge hilo ambalo lilirejea tena
Agosti 5, kwa siku nyingine 60,
inaweza kugharimu zaidi ya Sh.
bilioni 20.Hata hivyo, Serikali inaweza
kuokoa fedha kidogo baada ya
makubaliano kati ya Rais Jakaya
Kikwete na Wanachama wa Kituo cha
Demokrasia (TCD) wakiwamo
wajumbe wa Umoja wa Katiba ya
Wananchi (Ukawa), kuafikiana kuwa
sasa Bunge hilo lisitishwe Oktoba 4
badala ya Oktoba 31; kisha Katiba ya
Jamhuri ya Muungano ya mwaka 1977
itafanyiwa marekebisho ili itumiwe
kwenye uchaguzi mkuu wa mwakani.
Makubaliano hayo yamekuwa pigo
kwa walalahoi nchini ambao
walidhani wangepata Katiba mpya na
badala yake Katiba ya sasa itawekwa
'viraka' .
Mbali ya posho, kuna matumizi
mengine kama mafuta ya magari,
vipuri, karatasi, viburudisho,
mawasiliano, umeme wa viyoyozi,
maji, karatasi za vyoo, machapisho,
kukirimu wageni, kualika wataalamu
kutoa ufafanuzi na safari za kikazi, ni
wazi kuwa mabilioni yameyeyuka.
HASARA KWA TAIFA
Fedha hizo zaidi ya Sh. bilioni 120
zinazoendelea kupotea kwa
kushughulikia katiba ambayo
imethibitika kuwa kwa sasa
haitapatikana kama ilivyotarajiwa, ni
hasara kubwa kwa taifa kwani
zingeweza kutumika katika maeneo
mengi ya maendeleo.
Kwa mfano, inaelezwa kuwa fedha
hizo zingesaidia sana kupunguza
tatizo la foleni za magari jijini Dar es
Salaam kama zingeelekezwa kwenye
mradi wa ujenzi wa barabnara za
pembezoni (ring roads).
Katika bajeti ya mwaka wa fedha wa
2013/2014, Wizara ya Ujenzi ilieleza
kuwa vipaumbele vyake ni pamoja na
kupunguza foleni jijini Dar es Salaam
ikiwa ni pamoja na Ujenzi wa
barabara ya Kigogo – Jangwani (Sh.
bilioni 7.6), fidia kwa majengo ya
kandoni mwa barabara ya Kigogo-
Jangwani (Sh. bilioni 15.8) na
kipande cha kilomita tatu cha
barabara ya Kimara Korogwe-
Kilungule kinachogharimu Sh. bilioni
3.5. Fedha nyingine ni ni Sh. bilioni
13 kwa ajili ya kilomita saba za Mbezi
Mwisho-Goba, Sh. bilioni 16 za Tangi
Bovu-Goba, Baruti-Msewe (Sh.
bilioni 4.6) na Kigogo- Tabata Dampo
(Sh. bilioni 5.7). Miradi hii yote
ingekamilishwa mara moja kwa
mabilion yaliyoelekezwa kwenye
mchakato wa kuandika katiba.
Fedha hizo za kugharimia katiba
zingetosha pia kujenga zahanati za
kisasa 600 ikiwa kila moja itajengwa
kwa Sh. milioni 200, kununua
madawati 857,000 kwa makaditio ya
kila dawati kununuliwa kwa Sh.
140,000 na pia kuchimba visima virefu
vya maji 4,800 ikiwa kila kisima
kitagharimu Sh. milioni 50.
Aidha, inaelezwa vilevile kuwa fedha
hizo (Sh. bilioni 120) zingeweza pia
kusaidia ujenzi wa maabara kwa shule
za sekondari na pia kuwapa mikopo
wanafunzi 80,000 kwa mwaka wa vyuo
vya elimu ya juu ikiwa kila mmoja
wao angepatiwa Sh. milioni 1.5.
Kiasi hicho cha fedha zinazoteketea
kwa mchakato wa katiba kingeweza
pia kuboresha miundombinu ya reli,
dawa za binadamu na mifugo na hata
shughuli ya usambazaji wa umeme
vijijini.
UREFU WA DAR HADI BUKOBA
Katika hatua nyingine, imefahamika
kuwa noti milioni 12 za Sh. 10,000
zinahitajika kukamilisha kiasi cha Sh.
bilioni 120 na noti hizo zinaweza
kupangwa kwa urefu katika barabara
itokayo jijini Dar es Salaam hadi
Bukoba yenye urefu unaokadiriwa
kuwa kilomita 1,379 na bado kiasi
kingine kitabaki.
Hesabu hizo zinatokana na ukweli
kuwa kwa uchunguzi wa NIPASHE,
urefu wa noti moja ya sh. 10,000 ni
sawa na sentimita 14.1, hivyo kwa
noti milioni 12, umbali wake kwa
kuzitandaza ni sawa na sentimita
169,200,000 au kilomita 1692 (kilomita
moja ni sawa na sentimita 100,000).
Kiasi hicho cha fedha zinazoteketea
kwa mchakato wa katiba kingeweza
pia kuboresha miundombinu ya reli,
dawa za binadamu na mifugo na hata
shughuli ya usambazaji wa umeme
vijijini.
WASOMI WAZUNGUMZA
Mhadhiri mwandamizi katika Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam, Dk.
Semboja Haji, alisema kilichotokea
kwenye mchakato wa katiba ni jambo
lililotegemewa.
Alisema mfumo wa watu walioteuliwa
kuunda Bunge Maalum la Katiba
ulidhihirisha kwamba hakuna
ambacho kingefanyika zaidi ya
kuligharimu taifa.
"Labda niseme tu kwamba siyo hali
ambayo sikuitegemea, kwa sababu
watu walioteuliwa kwenda kujadili
rasimu ya tume hawakuwa na uwezo
wa kutuletea kitu cha maana,"
alisema.
Dk. Semboja alisema pamoja na hali
hiyo kudhihirika mapema, anashangaa
kwa nini Usalama wa Taifa haukubaini
na kumshauri rais jambo la kufanya ili
kuepusha hasara na aibu ambayo
Taifa imepata kutokana na kuendelea
kwa vikao vya Bunge Maalum la
Katiba.
Alionya kuwa kama mfumo wa
kutumia wanasiasa utaendelea
kutumika mwaka 2016, itatuchukua
muda mrefu kupata Katiba mpya.
Ikiwa makubaliano ya sasa yatataka
mchakato huo uendelee mwaka 2016
baada ya uchaguzi wa mwakani,
italazimika kutungwa kwa sheria
itakayomtaka rais ajaye atekeleze
mchakato huo vinginevyo anaweza
kupuuzia.

Saturday, September 13, 2014

MAMA NEY WA MITEGO AFUNGUKA HOFU YAKE JUU YA MWANAE

Mama mzazi wa mkali wa bongofleva
Nay wa Mitego ameongea kwa mara
ya kwanza na chanzo chetu na
kusema ana wasiwasi na mwanae
ambae hivi karibuni ametoa video
mpya aliyoifanya nchini Kenya.
Amekiri kweli kwamba siku kadhaa
zilizopita ilibidi amwite na kumuweka
chini Nay wa Mitego akitaka amueleze
kama ni kweli amejiunga na
‘freemason’ ambayo wengi
wanaitafsiri kwamba ni dini ya
kumwabudu shetani kitu ambacho
kiliwahi kukanushwa na aliyewahi
kuwa mmoja wa viongozi wa
freemasons Tanzania.
Mama anasema alimketisha Nay chini
baada ya video ya ‘Mr. Nay’ kutoka
ambapo baadhi ya picha sio za
kawaida mfano damu pamoja na
alama zilizotumika ndani yake.
Amesema ‘Naitwa Matilda Mwaipopo
ni mama mzazi wa Nay, kwakweli
mwanangu namchukulia lakini sifa tu
zinazokuja kama Nay kwenye
magazeti, Nay freemason, watu
wanakuja wananisimamisha….
mwanao Nay kweli? mbona tunasikia
freemason? basi kichwa changu
kinapagawa…. ‘
‘Nikiangalia miziki anayoifanya kama
hii aliyoitoa juzi, jamani mwanangu
anaambiwa freemason usikute kweli
freemason, Nay wa Mitego
nimemuita…. mwanangu vipi?
ninayoambiwa ni ya kweli? Freemason
wewe? mbona wimbo wako huu
siuelewielewi? ananiambia mama
mimi sio freemason, namwambia
hapana mwanangu hapana….. nasikia
freemason watu wanatoaga hata
wazazi sadaka’
‘Mimi ndio mama niliebakia baba
yenu alifariki aliniacha ukiwa na
miaka mitatu nimejitahidi kukulea
mpaka leo…… unitoe sadaka mama
yako kweli?????!!! Nay wa Mitego
sana ni kucheka…… anaona tu mama
kama anapagawa, lakini kwakweli
mwanangu simuaminiamini miziki
yake hii anayoifanya’

BREAKING NEWS:AJALI MBAYA YATOKEA MAENEO YA POSTA NJOMBE

inasemekana chanzo cha ajali hii ni baada ya gari aina ya canter yenye namba za usajili T 541 BTW kutaka kui overtake gari aina ya starlet yenye namba za usajili T239 BWU ndipo ilipoacha njia na kuingia mtaloni....hamna kifo kilichotokea zaidi ya dereva wa canter kuumia..

Bofya hapa kuungana nasi kwa facebook

Monday, September 1, 2014

Kocha simba amwingilia MAXIMO

MARCIO Maximo amefunga mjadala kwa kutamka kwamba Deo Munishi ndiye kipa

SHARE THIS STORY

namba moja wa Yanga, lakini kocha wa makipa wa Simba, Idd Pazi amesema kuwa kati ya makipa wote Tanzania anayestahili kuwa namba moja ni Juma Kaseja.

Pazi alisema kuwa katika nafasi hizo kunakuwa na makipa wa aina mbili, kipa mwenye kipaji na kipa wa mazoezi huku akimtaja Kaseja kuwa ni kipa mwenye kipaji.

Alisema kuwa mbali na kuwa na kipaji, lakini Kaseja ni kipa anayejituma bila kukata tamaa japo amekuwa akipewa tuhuma mbalimbali kutoka kwa mashabiki.

“Sijawahi kuona kipa mzuri kama Kaseja, kwanza ana kipaji, anajitambua na hata ukikutana naye mara nyingi mazungumzo yake ni soka na maendeleo yake katika hilo, ni kipa ambaye yupo wazi kutaka kujua jambo litakalomsaidia,” alisema.

“Makipa Tanzania wapo wengi, lakini wengi wao ni makipa wa mazoezi kwamba afanye sana mazoezi ndipo alinde kipaji chake.

“Lakini hiyo ni tofauti kabisa kwa Kaseja, nimemfundisha na hata sasa hivi huwa anahitaji kufundishwa pale anapokuwa na muda wa ziada, hivyo unaona kabisa kwamba huyu ni kipa mwenye malengo.

“Ndiyo maana ninasema Kaseja ndiye namba moja nchini.”

Alisema kuwa wengi wanadai umri wa Kaseja umekuwa mkubwa ndiyo maana kiwango chake kimeshuka, lakini yeye alisistiza kuwa kipa huyo ana miaka zaidi ya miwili katika soka.

“Hapa Simba kuna huyu kijana Manyika Peter, kama hatalewa sifa na akajitambua naye atafika mbali kama Kaseja,” alisema Pazi.

bofya hapa kuungana nasi facebook

Thursday, August 28, 2014

Je wajua jinsi makundi ya CHAMPIONS LEAGUE yalivopangwa? Bofya hapa ucheki

Hatimaye ligi ya mabingwa wa Ulaya
imeanza kwa kupangwa kwa makundi
ya michuano hiyo ambapo tukio la
upangwaji wa makundi haya
umefanyika kwenye jiji la Monaco,
Ufaransa na mpango wote ndio
umekua hivi.

Kundi A
Atletico Madrid
Juventus
Olympiakos
Malmo

Kundi B
Real Madrid
Basel
LIVERPOOL
Ludogorets

Kundi C
Benfica
Zenit St Petersburg
Bayer Leverkusen
Monaco

Kundi D
ARSENAL
Borussia Dortmund
Galatasaray
Anderlecht

Kundi E
Bayern Munich
MANCHESTER CITY
CSKA Moscow
Roma

Kundi F
Barcelona
Paris St-Germain
Ajax
Apoel Nicosia

Kundi G
CHELSEA
Schalke
Sporting Lisbon
Maribor

Kundi H
Porto
Shakhtar Donetsk
Athletic Bilbao
Bate Borisov

Ungana nami kwa kubofya
Facebook.     Instagram

Friday, August 15, 2014

More about EBOLA

There is currently an Ebola outbreak putting all of us at risk. Pls help educate all around u by sending this msg to all your contacts..

What is EBOLA?

It's a virus that attacks a person blood system:

Ebola is what scientists call a haemorraghic fever - it operates by making its victims bleed from almost
anywhere on their body.
Usually victims bleed to
death.

Ebola is highly contagious;
Being transmitted via
contact with body fluids
such as blood, sweat, saliva,
semen or other body discharges.

Ebola is however NOT AN AIRBORNE VIRUS!

EXTREMELY deadly:
About 90% of people that
catch Ebola will die from it.
It's one of the deadliest
diseases in the world,
killing in just a few weeks.

Untreatable(no cure):
Ebola has no known treatment or cure.
Victims are usually treated for symptoms with the faint hope that they
recover.

How Do I Know Someone has Ebola?

•Fever
•Headache
•Diarrhoea
•Vomiting
•Weakness
•Joint & Muscle pains
•Stomach Pain
•Lack of Appetite

Protect Yourself:
•Wash Your Hands
with Soap
Do this a lot. You can
also use a good hand
sanitizer. Avoid
unnecessary physical contact with people.

■Restrict yourself to food you prepared yourself.

■Disinfect Your Surroundings
The virus cannot
survive disinfectants,heat, direct sunlight,detergents and soaps.

Clean up!:
•Fumigate If you have Pests.
•Rodents can be carriers of Ebola.
•Fumigate your environment & dispose off the carcasses properly!
•Dead bodies CAN still
transmit Ebola.
•Don't touch them without
protective gear or better yet avoid them altogether.

Protect Yourself:
•Use protective gear if you
must care or go near
someone you suspect has
Ebola.

Report:
•Report any suspicious
symptoms in yourself or
anyone else IMMEDIATELY.

Do not delay!

Educate Everyone:
•Tell your neighbours,
colleagues and domestic
staff (anyone really). Basically you're safer when
everyone is educated.

Cheka kidogoo huku unasindikiza jion yako

Mchaga aliona tangazo limeandikwa
Mpare Hospital, tunatibu kila ugonjwa
kwa laki 1, tukishindwa tunakupa ww
laki 2, mchaga akaitamani ile laki 2,
akaenda, akamwambia Dk Mpare: i hv
lost ma sense of taste, Dk Mpare
akamwambia nesi, Mpe Mchaga dawa
ya chupa namba 22, nesi akamnywesha
Mchaga, Mchaga akashauti STOOOP ni
mkojo! Dk Mpare akwamwambia
Mchaga, congrats u hv recovered ur
sense of taste.
Mchaga akaumia sn kapoteza laki 1
yake, akajipanga upya akaenda tena
hospital, akamwambia Dk Mpare: I hv
lost ma memory, I dont even
remember my name. Dk Mpare
akamwambia nesi, mpe Mchaga dawa
ya chupa namba 22, Mchaga akashauti
NOOOO dawa ya chupa namba 22 ni
mkojo kwa matibabu ya sense of taste!
Dk Mpare akamwambia Mchaga:
congrats u hv recovered ur memory.

****####****###**
demu: mambo vp mpenzi
Jonii: poa tuu nambie malikia angu
Demu: just miss u baby
Jonii: thanx
Dem: afu baby ninashida ya pesa
kidogo kwa ajili ya kusuka
Jonii: km shilling ngapi mpenzi
demu: elfu hamsini tuuu baby
Joniii: ok ngoja nikutumie now
Dem: oh nawait baby love uuuuu
Baaada ya mda kidogo dem anapokea
sms ya m pesa anatabasamu inakua hivi
Demu:: jaman baby mbona
umenitumia 500 badala ya 50000
Jonii: itakua sifuri nyingne zimefutika
Demu:: nyooo we sema huna ela
mwanaume suruwali wewe
Jonii: ehhhhh ulitaka niwe mwanaume
sketi!

Cheki dictionary ya maajabu

Aww
Usijidanganye ati Kiswahili si Lugha timilifu,
Kwa taarifa yako kimekamilika kila idara, hebu ona maneno haya, je, ulikuwa unayafahamu tangu awali?

Tazama.......

KIINGEREZA------KISWAHILI
Device-------------Kitumi
Photocopier------Kinukuzi...
Duplicating Machine --Kirudufu
Resistor-----------kikinzani
Power Saw-------Msumeno oto
Sensor-----------Kisimbuzi
Lap Top---------Kipakatalishi
ICU--------------Kisadaruki
Microwave-----Tanuri ya miyale
Memory Card-----------Kadi sakima
SIM card----------Kadiwia/mkamimo
Scratch card------------Kadi hela
Business card-----Kadikazi
Identity card----Kitambulisho
ATM---------- -Kiotomotela
Nutrients ----- -Virutubisho
Starch---------- ---------Nisha
Stigma--------- ----------Ntwe
Nectar---------------Mbochi
Humus---------------Mboji
Germ cell----------Celizazi
Femur---------------Fupaja
Green house-------Kivungulio
Esophagus--------------Umio
Sunflower---------------Alizeti
Weevil-------------Fukusi/dumuzi
Distillation--------Ukenekaji
Evaporation-------Mvukizo
Dissolve ----------Uyeyushaji
Stagnant----------------Tuame
Synthesis---------Uoanishaji
Monitor-----------Muwazi
Processor---------Kichakato
Computer Virus-----Mtaliga
Floppy Disk-------------Diski tepetevu
Mouse-----------Kipanya/kisakura
Slot----------------Upenyu
Flash Disk--------------Diski mweko
Scanner-----------------Mdaki
Keyboard-------Kicharazio
Force of Gravity-------Kani ya mvutano
Certificate-----Astashahada
Diploma--------Stashahada
Degree------------Shahada
Masters----------------Uzamili
Phd----------------Uzamivu
Sausage---------------Soseji
Kebab-------------Mshakiki
Crisps--------------Kaukau
Chips-------------------Vibanzi
Juice---------------Sharubati
Password--------------Nywila
Zebra Crossing-------Kivuko milia

Click here to like our facebook page

Thursday, August 14, 2014

Cheka ila usiharibu mbavu

Mhindi alijibu mtihani wa Kiswahili kama ivi:

(1) Mfa maji ?....ipatie life jacket, lambda taokoka.

(2) Mwenda pole?....... Tachelewa fika.

(3) Usipoziba ufa ?........... Mizi tachungulia  dani.

(4) Usilolijua ?........ Uliza google.

(5) Mbio za utelezini ?..itaChafua guo yako.

(6) Ukipenda boga ?...Ngoja mezi ya ramzani tapata rahisi.

(7) Ukiona vinaelea ?.iko nyepesi sana hiyo.

(8) Maji yakimwagika ?...... Mambie dada tapiga deki.

(9) Chelewa chelewa ?... Takosa mapesa veve.

(10) Kila ndege huruka ?... Airport

(11) Bandu bandu ?...du gu Yale pateli na sa sa ipo Bombey.

(12) Mtaka cha Mvunguni ?..sharti inue tanda

(13) Simba mwenda kimya?....Kama sio gonjwa basi haina njaa.

(14) Aisifuye mvua ?.......... Najua iko Mkulima hiyo

(15) Barabara ndefu ?........ Ongeza mwendo au tachelewa fika.

(16) Mlanawe hafi nawe ila?.... Takimbia

(17) Asie sikia la mkuu ? ........ Tapeleka jela

(18) Hasira za mkizi ? ..............Tatafuna veve

(19) Mchamba wima ?........ Karibu ya Hurumzi

(20) Akumurikae mchana ?....Kipofu hiyo

(21) Mficha maradhi ?........ Taenda Loliondo

(22) Mkataa wingi ? ..........Taenda Chadema

(23) Bendera ?................ Kama sio ya ODM, ya TNA

(24) Baniani mbaya ?....... Peleka Bombay Lakini sio kweli, naonea tu

(25) Akili nyingi ?.......... Tapasi mtihani yotee

(26) Penye kuku wengi ? ........ Chinja bili tatu ivi, hapana mtu najua.

Dunia ina mambo...kampuni moja jaman yatengeneza midoli inayofanana na mwanamke hadi sehemu nyeti...chek hapa picha

Dunia inamambo Kampuni moja ya nchini Japan imedai kufanikiwa
kutengeneza midoli ya ngono ‘sex dolls’ yenye
muonekano halisi wa mwanamke ambayo huwa na
ngozi ya mwili kama ya binadamu na macho kama
ya ukweli.
Mdoli wa ngono
Orient Industry imesema ni ngumu kuitofautisha
midoli hiyo na msichana halisi pale unapoitazama
kwa mara ya kwanza.
Midoli hiyo imepewa jina la ‘Dutch Wives’, na
matangazo ya midoli hiyo yanasema kuwa iwapo
mwanaume akifanya nayo mapenzi hawezi
kumtamani mwanamke halisi tena. Bei ya midoli
hiyo ni £1,000 ( zaidi ya shilingi milioni 2.7) kwa
kila mmoja.
Midoli hiyo imetengenezwa kwa kuweka viungo
ambavyo vinamfanya mtumiaji kuigeuza katika
position atakayo.

Je wajua inbox za fesibuku zipo vipi? Bofya hapa kuchek

HIZI NDIO INBOX YA WANAUME
WENGI WA FACEBOOK ILIVYO
Me: mambo dada
Dada: mm mzma cjui ww
Me: mm poa tu, nmependa prfl pic
yako
Dada: hasant
Me: ndo ww nn, maana daah
umejaaliwa
Dada: ndo mie huyo, kwan vp??
Me: basi tu mungu kakupendelea
sana, unaish wap,?? mm nakaa
kijitonyama
Dada: nakaa magomeni mikumi,
Me: umeolewa
Dada: wala, naishi mwenyewe
Me: vp naruhusiwa kuja
kutembea??
Dada: akaah kwangu hawaj
wanaume!!
Me: heee kwann ss?? Au hutaki
wagen.
Dada: basi tu, nmeweka sheria
zangu.
Me: ok, unapiga mishe gani hapa
mjini?
Dada: nnabiashara zangu tu
nafanya.
Me: basi tafuta siku tuonane,
tuongee, tujuane, maana mm
nimekuelewa sana.
Dada: mmh ww kaka una mambo,
mm naogopa kukutana na watu
nisiowajua.
Me: sasa c ndo tunajuana hivi,
Dada: mhhh haya ntakupa namba
yangu kesho
Me: ok, ila tangu tunachat hapa
hali yangu si nzur mwenzio
Dada: unaumwa au??
Me: hamna hapa babu
kachachamaa sana, sijui anashida
gani
Dada: mmmh is umpeleke. Kwa
mwenzake
Me: mwenzake is ndo ww jamani
Dada: akaaaah
Me: umevaaje kwan hapo
mrembo??
Dada: kanga na chupi, maana ndo
nimetoka kuogopa,
Me: aaaiiish dada unaniumiza
jamani
Dada: pole jaman kwan unaumia
sanaaa???
UNAMAWAZO GANI JUU YA INBOX
KAMA HIZI? AU NDIO NGOZI NYEUSI
YAWAZA MAPENZI TU?
usisaha kushare watu waone
mautumbo yao wanavyochat inbox
na mademu wasiowajua

LIFE AMAZING MATHEMATICS

Very interesting & meaningful msg to share:

If:
A B C D E F G H I J K LM N O P Q R S T U V W X Y Z
is equal to:
1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26

Then,

H+A+R+D+W+O+R+K ;
8+1+18+4+23+15+18+11=98%

K+N+O+W+L+E+D+G+E ;
11+14+15+23+12+5+4+7+5=96%

L+O+V+E;
12+15+22+5 = 54%

L+U+C+K ;
12+21+3+11 = 47%

None of them makes 100%. Then what makes 100%?

Is it Money? NO!

M+O+N+E+Y= 13+15+14+5+25=72%

Leadership? NO!

L+E+A+D+E+R+S+H+I+P= 12+5+1+4+5+18+19+8+9+16=97%

Every problem has a solution, only if we perhaps change our "ATTITUDE"...

A+T+T+I+T+U+D+E ;
1+20+20+9+20+21+4+5 = 100%

It is therefore OUR ATTITUDE towards Life and Work that makes
OUR Life 100% Successful.

Amazing mathematics

Beautiful msg to share:

UMuhimu wa tendo la ndoa kiafya

UMUHIMU WA TENDO LA NDOA KIAFYA

��Tendo la ndoa ni moja kati ya mazoezi ya mwili.
Wataalamu wanasema kwamba, unapofanya tendo hilo mara tatu kwa wiki husaidia kupunguza kiasi cha mafuta mwilini na pia endapo mtu atafanya tendo mara tatu kwa wiki kwa kipindi cha mwaka mzima ni sawa na kukimbia maili 75.

��Tendo la ndoa huongeza takriban vizalisha nguvu 150 kwa nusu saa ambayo ni sawa na kukimbia dakika 15 kiwanjani.Kuongeza mwendo wa damu

��Tendo la ndoa husaidia kuongeza kasi ya mtiririko wa damu kwenye ubongo na sehemu nyingine ya viungo vya mwili, hii huchangia kuongeza kasi ya mapigo ya moyo na kuboresha mfumo wa upumuaji.

��Msukumo thabiti wa damu mpya yenye oxygen na homoni zenye chembe chembe hai zinapopenya kwenye mishipa ya damu husaidia katika uunguzaji wa chakula, pia huondoa kiasi cha uchafu ambao ungesababisha mishipa na kushindwa kufanya kazi na kumfanya mwanadamu apate maumivu ya mwili.

��Hupunguza mafuta yenye kileo (Cholesterol)Tendo la ndoa huweka sawa uwiano wa mafuta yenye kileo (Cholesterol) nzuri na cholesterol mbaya na wakati huo hupunguza kwa ujumla kiasi cha mafuta yenye kileo mwilini.

��Kupunguza maumivuWakati wa kufanya mapenzi, homoni iitwayo oxytosin huzalishwa mwilini ambayo husababisha kuzalishwa kwa homoni iitwayo endorphin ambazo hupunguza maumivu kama vile kuvimba sehemu za viungo (arthritis) maumivu ya shingo (Whiplash) na maumivu ya kichwa.

��Ulinzi wa tezi ya kibofu (mwanaume)Majimaji yanayozalishwa katika tezi ya kibofu (prostate) yakizidi husababisha kuleta matatizo mwilini.

��Tendo la ndoa la mpangilio huondoa uzalishaji wa majimaji hayo yenye madhara.

��Mabadiliko ya ghafla ya tendo la ndoa huelekea kuleta matatizo yahusianayo na tezi ya prostate.

��Kupunguza mfadhaiko wa moyo

��Kujitosheleza na kupumzisha mwili baada ya tendo la ndoa ni muhimu kwa kutuliza akili na kurekebisha mzunguko wa damu mwilini.

��Watu wenye kushiriki tendo la ndoa wanatajwa kushinda mfadhaiko na kupata usingizi mnono hasa mara baada ya kumaliza kufanya mapenzi.

��Huongeza uzalishaji wa homoni za kiume(testosterone) na za kike (Oestogen).

��Faida nyingine inayopatika ni kuongeza uzalishaji wa homoni za kiume na za kike likiwemo suala zima la msukumo wa kufanya tendo hilo ambapo mhusika hutosheka zaidi ya yule ambaye hana mazoea ya kufanya mapenzi.

��Hata hivyo, baadhi ya madaktari wamegundua kwamba ongezeko la homoni za kiume/ kike huweza kuwakinga wanadamu na magonjwa ya moyo.

��Kuishi muda mrefu huku ukionekana kijanaWakati wa tendo la ndoa homoni iitwayo DHEA huzalishwa mwili mzima. Hii husaidia msisimko wa mapenzi kuongezeka.

��Kutokana na elimu hiyo DHEA ni kemikali yenye nguvu duniani ambayo husaidia kuweka sawa kinga ya mwili, huongeza ufahamu, kuimarisha mifupa, kutengeneza na kuimarisha afya na kuimarisha mishipa ya moyo (Cardiovascular).

��Hupunguza baridi na mafua

��Elimu inaonesha kuwa wanaofanya tendo la ndoa mara moja au mbili kwa wiki huongeza 30% ya uzalishaji wa chembe chembe hai za mwili ziitwazo Immunogloulin A ambazo huwa na kazi ya kuulinda mwili dhidi ya magonjwa.

�� Hizo ni faida chache tu za kufanya tendo la ndoa.

 Jambo kubwa la kuzingatia ni kuwa faida hizi hupatikana kwa ufanyaji wa mapenzi usiokuwa na hofu ya kufumaniwa au kuumbuliwa.

��Ndiyo maana nikasema ni maalum kwa wanandoa tu.��

ONYO:
Weka mbali na watoto au kwa asiyekuwa mwanandoa wako.
����

UEFA REJECTS real madrid's Xabi Alonso APPEAL

The midfielder will sit out the Super Cup clash with Sevilla after his suspension for celebrating during the Champions League final was upheld

The Uefa Appeals Body has rejected Real Madrid's appeal against Xabi Alonso's one-match suspension for a "breach of general rules of conduct".

The Spain international was sanctioned for running down the sidelines to celebrate Gareth Bale's goal in Los Blancos' 4-1 win over Atletico Madrid in the Champions League final in May.

Madrid challenged the ruling but the Uefa Appeals Body has upheld the original decision, meaning Alonso will sit out Tuesday's Super Cup clash with Europa League winners Sevilla.

The midfielder had been forced to sit out Madrid's meeting with Atleti in Lisbon after picking up a booking in his club's semi-final second-leg win over Bayern Munich at the Allianz Arena.

Consequently, he had been consigned to the touchline for the final. However, Alonso set off down the touchline in celebration when Bale put Madrid 2-1 up in extra-time, resulting in a one-game ban for the 32-year-old.

Los Blancos were also fined £14,000 for picking up five bookings in the final, as well as the "improper conduct" of their supporters, who were found to have set off fireworks during the tournament decider.

Wednesday, August 13, 2014

Robin Williams's daughter Zelda deletes social media accounts after online abuse...read more

Robin
Williams'
daughter
has
abandoned her online social media
accounts in disgust following what
she called "cruel and unnecessary"
messages sent to her following her
father's death.
Zelda Williams, 25, wrote that she
was deleting her Twitter, Tumblr
and Instagram applications from her
mobile devices and stepping away
"for a good long time, maybe
forever."
The move came after at least two
users upset the grieving actress by
sending disturbing images and
verbal attacks. In one of her last
tweets on Tuesday night, Williams
asked fellow users to report her
alleged tormentors to Twitter
managers. "I'm shaking," she wrote.
Well-wishers and fans online rallied
to her defense, and the accounts of
both alleged bullies were
suspended by Wednesday.
On Instagram, Williams alluded to
users being hateful following her
father's suicide: "In this difficult
time, please try to be respectful of
the accounts of myself, my family
and my friends. Mining our
accounts for photos of dad, or
judging me on the number of them
is cruel and unnecessary."
A message seeking comment from
the Williams family's publicist
wasn't immediately returned.

For the photos click http://www.google.co.tz/imgres?imgurl=http://cdn02.cdn.justjared.com/wp-content/uploads/2009/11/zelda-dogs/zelda-williams-old-dogs-01.jpg&imgrefurl=http://www.justjared.com/photo-gallery/2356252/zelda-williams-old-dogs-01/fullsize/&h=1222&w=959&tbnid=ERiJuOWqsCrMIM:&zoom=1&q=zelda+williams&docid=KcnaXPYfPGc47M&ei=fD7sU83jGfTY7AbGh4GwCQ&tbm=isch&ved=0CDIQMygQMBA
  CLICK HERE TO LIKE OUR FACEBOOK PAGE FOR MORE

JE WAJUA KUA RIHANNA ANATAKA M KUNUNUA CLUB KUBWA UINGEREZA? CHECK HAPA

Moja ya watu maarufu waliokumbwa
na joto kubwa la soka wakati wa
michuano ya kombe la dunia, alikuwa
ni mwanamuziki Rihanna.
Alikuwa akituma tweets karibia
kwenye michezo yote na mwishoni
alienda kuhudhuria fainali ya
michuano hiyo iliyopigwa kwenye
dimba la Maracana kati ya Ujerumani
dhidi ya Argentina.
Siku kadhaa nyuma gazeti la Daily
Mail la Uingereza liliripoti kwamba
staa huyo alikuwa anajiandaa
kununua hisa kwenye moja ya vilabu
vikubwa nchini Uingereza, lakini
hawakutaja jina la timu.
Lakini leo hii Jumanne, gazeti moja
huko Catalunya liitwalo El Mundo
Deportivo limethibitisha kwamba
Rihanna anataka kununua hisa nyingi
kwenye klabu ya Liverpool.
Rihanna amewahi kuripotiwa kwamba
anaishabikia klabu ya Liverpool,
jambo ambalo inawezekana El Mundo
Deportivo wamemhusisha na ununuzi
wa klabu hiyo ya Anfield.
Liverpool kwa sasa inamilikiwa na
mmiliki wa makampuni ya American
Fenway Sports Group John W. Henry.

Tuesday, August 12, 2014

USHAHIDI WA CHRISS BROWN NA RIHANNA KURUDIANA...bofya hapa kuchek picha

Baada ya siku moja tu Chris Brown
ku-post poster la tour ya Rihanna na
Eminem kwenye instagram, Chris
Brown ameonekana kuendelea
kuongeza ukaribu zaidi na Rihanna.
Japokuwa picha haipo clear sana
lakini inaonyesha Chris Brown
alivyokwenda back stage ambapo
alikuwepo Rihanna kwenye moja ya
show za tour hiyo.
Picha haionyeshi vizuri lakini kuna
mashahidi wengi wanasema kwamba
Chris Brown alikuepo backstage
akiwa na Tyga na welienda kwa ajili
ya Rihanna.