Saturday, May 10, 2014

+18:SEHEMU ZENYE UTAMU KATIKA TENDO LA NDOA...

Kwa bahati nzuri wanawake wana maeneo 5 ambayo
huwawezesha kusikia utamu wa kufanya ngono tofauti na
wanaume.
Sehemu maarufu ni kisimi na G spot lakini kuna eneo lingine
linaitwa AFE ambalo liko mwishoni kabisa mwa uke na vile
vile kuta za uke bila kusahau mwanzo wa uke.
Mwanamke huweza kupata utamu wa tendo hili takatifu
kwenye maeneo yote hayo ikiwa mpenzi wake anajua
kuwajibika, sio kufanya mapenzi kwa muda mrefu tu bali pia
kujua kucheza na uume wake. Pamoja na utundu wake pia
wewe mwanamke unatakiwa kuwa wazi na huru kumuelekeza
ikiwa kagusa kusiko au kapatia kunako utamu.
Utamu wa maeneo yote hayo ni tofauti na unazidiana kati ya
mwanamke mmoja na mwingine.
Hebu sasa tutazame hizo sehemu tofauti za utamu wa ngono
kwa wanawake.
Kisimi
Wanawake hupata utamu wa kisimini kwa njia ya kusuguliwa,
kushikwa, kuchezewa kwa ulimi, kidole au kichwa cha uume.
Utamu wa mahali hapa hupatikana haraka na hufanya
usitamani tena tendo hilo kwa muda fulani (Kuanzia dakika 3
– 15) na kikiguswa tena huweza kumpa mwanamke maumivu
fulani hivi. Baadhi ya wanawake huwa hawawezi kuendelea
tena na tendo mara baada ya kuchezewa kisimi.
G-spot
Utamu wa mahali hapa ni wa nguvu sana na wanawake wengi
huishiwa nguvu kwa muda wanapoguswa eneo hili. Nguvu
hizo huchukua muda wa dakika 20 – 45 kurejea, na zikirejea
hamu haiishi. Hivyo wakati wewe umezimia mpenzi wako
anaweza kuendelea na mchezo na nguvu zikirudi basi na
wewe unaendelea kutafuta goli lingine.
Mwanzo wa uke
Utamu wa mahali hapa haumpotezei mwanamke hamu, kwani
hafiki kileleni bali anasikia utamu fulani hivi. Ili mwanamke
aweze kufika kileleni, mwanaume anatakiwa aingize uume
ndani zaidi ili aweze kugusa eneo la G-Spot na kuta za uke.
Kuta za uke
Utamu wa eneo hili unapatikana toka mwanzo uume
ulipoingizwa, na kadri mnavyoendelea kufanyana ndivyo
utamu unavyozidi kuongezeka na hatimaye mwanamke
hujikuta akifika kileleni.
Mwisho wa uke (karibu na njia ya uzazi)
Utamu wa eneo hili hupatikana endapo uume wa mpenzi
wako utagusa mwisho wa uke. Kwa kawaida mwanamke
husikia maumivu flani anapoguswa eneo hili lakini wakati
huo huo bado anapenda aendelee na wakati mwingine
anaweza kumuomba mpenzi wake afanye kwa nguvu. Pia
mwanamke anaweza kutokwa na damu endapo ataguswa eneo
hilo.
Ewe mwanamke, hakikisha unamruhusu mpenzi wako kufika
huko ikiwa mnaaminiana, mko kwenye uhusiano wa
kudumu, msafi kiafya na uko tayari kuwa mama endapo
mpenzi wako atateleza na kuachia kidogo kwani eneo hili lipo
mlangoni kabisa mwa njia ya uzazi.


Posted via Blogaway

DALILI ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKA KILELENI...

1. Dalili ya kwanza inayomuashiria mwanamke anapotaka kufika
kileleni ni ya kupiga mayowe/kelele, hii ni dalili kubwa kwa
wanawake wengi napozungumzia dalili hii sina maana kwamba ya
kupiga kelele za fujo ila kelele zinazopigwa ni zile za raha
zilizoambatana na Miguno ya kimahaba kama alikuwa anatoa
sauti ya chini ghafla utaanza kuona anapandisha na kuikuza sauti.
Pia kuna wanawake wengine hujikuta wakiropokwa maneno pindi
raha zinapozidi,
2. Dalili nyingine ya pili inayoweza kukusaidia kumtambua
mwanamke anapotaka kufika kileleni ni hii wanawake wengi
hubainika kufika kileleni pindi raha zinapo wazidia na wanapo
kojoa (Bao) huwakumbatia wapenzi wao kwanguvu na kuwavuta
hutumia nguvu nyingi kuwakumbalia wapenzi wao mpaka
wanapomaliza kukidhi haja yao katika hili pia unaweza kumuona
mwanamke mwingine anafikia mpaka hatua ya kukung'ata meno
ila fahamu zote zinakuwa ni raha anajikuta anafanya vitu bila
kutarajia.
- Naamini somo limeeleweka na kwa hizi dalili chache sidhani
kama ikitokea mwanamke wako akifanya moja wapo kati ya hili
kwako itakuwa kama suprise ni vitu vya kawaida katika mapenzi
na jinsia zote mbili zina haki ya kuridhika katika sehemu ya
kusex. Ushauri wangu mkubwa ni kuzingatia maandalizi mazuri
kabla ya tendo kwani siku zote huwezi kuplan kujenga nyumba
bila kuwa na msingi na kwenye mapenzi pia huwezi kufanikiwa
kumridhisha mwenza wako bila kumuandaa.


Posted via Blogaway

Kwa wanaume tu:NJIA RAHISI ZA KUMFANYA MWANAMKE AFIKE KILELENI MAPEMA...

"Kuna njia
mbalimbali za kumuongezea wigo mwanamke kufika kileleni
na kuna kitu kimoja wanawake wote husema, "Kufika kileleni
huitaji utulivu wa akili na hisia!"
Kama ukimweka mwanamke kwenye mazingira mazuri kiakili
na kihisia, kuna uwezekano mkubwa na mwili wake kufuata
na kumfanya afike kileleni.
Japo wanawake wanatofautiana, tumejaribu kuongea na
baadhi ya wanawake na wametumegea siri na kutupa njia
nzuri ya kumfikisha kileleni mwanamke kwa haraka, japo
ilikua mpaka tulipowapa baadhi ya siri zetu za kiume kidogo
ndo wakalainika kutuambia...
Kama ukitaka kumfikisha kileleni kwa haraka, ni vizuri
mwanamke ukamweka juu yako ili aweze kudhibiti kasi,
msuguano na engo ya uume wako ndani yake, japo nawe
unaweza kupata matamanio ya kumsaidia, ila ni vizuri
ukamwacha  mwenyewe ili usije kumharibia kasi anayoitaka
yeye na kuitumia.
Inabidi upambane na matamanio yako na uendelee kutulia
na umsikilize anataka wewe ukaeje ili ajiongezee msisimko
zaidi na kwa sasa inabidi uutulize mwili huku mikono yako
ikishughurika na uitumie vizuri, unaweza kuwa unampapasa
sehemu za makalio yake au nyuma ya kichwa chake sehemu
za shingoni mpaka kisogoni kwa hali ya kimahaba, na kama
umekaa wima utajiongezea pointi zaidi kwa kumbusu
shingoni na kuongea maneno mazuri ya kimahaba na
kumsifia kwa uzuri wake na sifa nyingine.


Posted via Blogaway

JIFUNZE STYLE ZA CHUMBANI ZA KUMRIDHISHA MPENZIO...

Leo tuhamie chumbani kidogo...kwa wale walio +18
JIFUNZE SEX STYLES ZA KUPEANA RAHA NA UTAMU
FLATIRON
FLATIRON
Jinsi Ya Kujipanga
Mwanamke alale kitandani uso ukiangalia chini makalio yaangalie
juu,asisahau kubinua nyonga/makalio juu kidogo(kama mvivu kidogo
aweke mto(pillow) chini ya kinena),kujibinua kwake kutaongeza
raha na utamu zaidi
Faida Za Hii Style
Mwanamke anapata nafasi ya kuenjoy Raha na Utamu akiwa
amerelax,na kwakuwa miili inakuwa imebanana sana,mashine ya
mwanaume itaonekana kubwa kidogo
Maujanja Ya Ziada
Mwanaume awe anapump taratibu kwa juu sio lazima sana aingie
deep,akumbuke kuhema vizuri asije akachoka haraka
FLATIRON
How?
You lie face down on the bed, legs straight, hips slightly raised.
Benefit
This position creates a snug fit. Your guy’s stuff will seem even
larger.
Bonus
Some shallow thrusts and deep breathing will help him last longer.
G-WHIZ
G-WHIZ
Jinsi Ya Kujipanga
Mwanamke alale chali(uso,matiti na kila kitu viangalie juu),kisha
Mwanaume apige magoti mbele yake,baada ya hapo,mwanamke
aweke miguu yake kwenye mabega ya mwanaume(kama
inavyoonekana kwenye picha),unaweza kuweka mto(pillow) chini ya
makalio ya mwanamke awe more comfortable and relaxed
Faida za Hii Style
Mwanamke akiweka miguu juu ya mabega ya mwanaume wakati wa
kupeana Raha na Utamu,kuna faida mbili mtaenjoy,ya Kwanza,
mashine ya mwanamme na uke wa mwanamke zote zinakuwa katika
level sawa,hii inasaidia mashine ya mwanaume kuisugua vizuri G-
spot,na Pili Uke wa mwanamke unajibana kidogo,ikijibana
inaongezeka kuwa tight,na kufanya starehe ya tendo kuzidi
Maujanja Zaidi
Mwanaume inabidi ashikilie makalio ya mwanamke,akipump
kuelekea juu ili aweze kuilenga vizuri G-spot
G-Whiz How?
You lie back with your legs resting on each of his shoulders.
Benefit
When you raise your legs, it narrows the vagina and helps target
your G-spot.
Bonus
Ask him to start rocking you in a side-to-side or up-and-down
motion. That should bring his penis into direct contact with your G-
spot.
FACE-OFF
FACE-OFF
Jinsi Ya Kujipanga
Mwanaume akae juu ya kiti au pembeni ya kitanda(kama
inavyoonekana hapo kwenye picha juu),mwanamke aje akae juu
yake(kama inavyoonyesha kwenye picha hapo juu)
Faida Za Hii Style
Mwanamke anakuwa ana uwezo wa kucontrol kila kitu,spidi
itakayotumika na mashine iingie ndani ya uke kiasi gani na pia ni
style nzuri kwa wale ambao wanapenda kupeana Raha na Utamu
kwa Spidi kubwa,mwanamke hawez kuchoka haraka kwa kuwa
anapata balance na support ya kutosha
Maujanja Zaidi
haina ulazima wala haja ya kuongea sana,vidole na mikono yako
ndo vinatakiwa viwe busy kutomasa,kupapasa na kushikashika
sehemu zote zitakazoongeza Raha na Utamu katika tendo.
FACE-OFF
How?
He sits on a chair or the edge of the bed; you face him, seated on
his lap.
Benefit
You’re in control of the angle and depth of the entry and thrust.
Being seated provides support, so it’s great for marathon sex.
Bonus
Let your fingers (and hands) to the talking. Once seated, you can
put your hands anywhere on your body or his to make things more
interesting.
COWGIRL
Jinsi Ya Kujipanga
Mwanamke apige magoti juu ya mwanaume usawa wa mashine ya
mwanaume(kama inavyoonyesha kwenye picha),then aikalie
taratibu,anaweza kupata balance either kwa kuegemea na kuweka
mikono yake juu ya kifua cha mwanaume au juu ya magoti ya
mwanaume.Kisha aanze kwenda juu na chini,itafika muda
atachoka,badala ya kubadili style au kutulia kidogo kwa sekunde
kadhaa(apate nguvu ya kuendelea),inashauriwa utumie muda huo
wa kupumzika kidogo(may b sekunde 10 au 15) kwa kumshika shika
na kumtomasa mwanaume kifuani,zungusha kiuno taratibu huku
ukiongea maneno ya kimahaba sana,endeleeni kufanya hivi mpaka
wote mfike kileleni(orgasm),au mkitosheka mnaweza kubadili style
Faida Za Hii Style
Ni style ambayo Mwanamke anakuwa anacontrol kila kitu,yeye ndo
anajua ajiweke kwenye angle ipi ili mashine iweze kusugua sehemu
zipi ndani ya uke wake ili aweze kufika kileleni kwa urahisi zaidi,ni
style ya pekee ambayo inawafanya wanawake wengi wafike kileleni
(orgasm) bila matatizo
Maujanja Ya Ziada
Raha na Utamu wa hii style utaongezeka zaidi kama mikono ya
mwanaume ikiwa busy ikishikashika,ikitomasa na kupapasa
makalio,hips,kiuno na sehemu yeyote ambayo anaweza kuifikia
kiurahisi.
How?
Similar to the popular Cowgirl position, you kneel on top of him,
pushing off his chest and sliding up and down his thighs. But he
helps by supporting some of your weight and grabbing your hips or
thighs while he rises to meet each thrust.
Benefit
Less stress on your legs, making climaxing easier. Plus, female-
dominant positions delay his climax, so everyone wins.
Bonus
Alternate between shallow and deep thrusting to stimulate different
parts of the vagina.
LEAP FROG
Jinsi Ya Kujipanga
Hii ni Doggy-style iliyoboreshwa,mwanamke akiwa kitandani,ainame
halafu hips na makalio yake ainue juu huku mikono na kichwa chake
avilaze juu ya mto(kama inavyoonekana kwenye Picha hapo juu)
,kuna haja jamani ya kusema mwanaume akae wapi? hehehe
Faida Ya Hii Style
Hii style inatengeneza mazingira ya kuruhusu mashine ya
mwanaume iweze kuingia ndani zaidi kadri apendavyo,na
mwanamke anapata nafasi ya kupumzisha kichwa chake juu ya mto
(kidogo anarelax huku akienjoy raha na utamu)
Maujanja Ya Ziada
Ili kuongeza Raha na Utamu zaidi,mwanamke atumie mkono wake
kujisugua kisimi(clitoris)
How?
This is a modified doggy-style. Get on your hands and knees, then,
keeping hips raised, rest your head and arms on the bed.
Benefit
Creates deeper penetration—and gives you a chance to rest on a
pillow.
Bonus
Use your hands to stimulate your clitoris.
BALLET DANCER
Jinsi Ya Kujipanga
Mwanamke na Mwanaume wote wasimame,kisha Mwanamke ainue
mguu wake wa kulia auweke kwenye kiuno cha
mwanaume,mwanaume aushikilie mguu wa mwanamke aliouinua ili
kumpa balance.
Faida Za Hii Style
Hii Style inaruhusu na inawapa nafasi ya kuangaliana uso kwa uso
huku mkipeana Raha na Utamu kitu ambacho kinasaidia sana
kuwaunganisha kihisia na kimwili pia
Maujanja ya Ziada
Kama mwanamke yupo flexible anaweza kuuweka mguu begani
badala ya kiunoni kwa ajili ya kuipa nafasi mashine iingie ndani
zaid.
How?
Standing on one foot, face your guy and wrap your other leg around
his waist while he helps support you.
Benefit
Allows for quality face time and connecting.
Bonus
If you’re a Flexi Lexie, try putting the raised leg on his shoulder for
even deeper penetration.


Posted via Blogaway

Friday, May 2, 2014

Mourinho blames Eden Hazard for champions league exit

Jose Mourinho has accused his star player, Eden Hazard, of being
unable to sacrifice himself fully for the team and bluntly told the
Belgium winger that he was to blame for the crucial first goal in
Chelsea's Champions League defeat by Atlético Madrid.
Hazard had appeared to criticise Mourinho's tactics immediately
after the 3-1 semi-final loss when he was quoted on French
television as saying that Chelsea "are not made to play football,
we are good on the counter-attack". Hazard also added: "Often,
I'm asked to do it all by myself and it's not easy."
"He's not the kind of player ready to sacrifice himself 100 per
cent for the team and his mates": Chelsea boss Jose Mourinho on
Eden Hazard. Photo: AP
Mourinho has since studied the transcript of the interview and,
although he is adamant that the comments were not a criticism of
his managerial style, he did deliver an extraordinarily candid
appraisal of Hazard's contribution. Pointedly, in what was a rare
and stinging critique of one of his team, Mourinho also claimed
that Hazard's remarks could be expected "from players like him".
"It's normal because he's not the kind of player ready to sacrifice
himself 100 per cent for the team and for his mates," said
Mourinho. "Eden is the kind of player who is not so mentally
ready to look back at his left-back and live his life for him.
Normally you get this kind of comment from players like him:
from players who can't resolve a problem like we had with the
first goal. If you see the first goal, you understand where the
mistake was and why we conceded.
"Against Atlético in Madrid, Willian played on the left and Ashley
Cole was protected all game. At Liverpool, André Schürrle played
on the left and a dangerous player like Glen Johnson was
completely under control.
"I just say the perfect team at the top level cannot make this kind
of mistake. Normally, if you go to half-time winning 1-0, the game
is another game because Atlético have to chase the game and we,
with stability, have conditions for more."
Mourinho dropped Hazard this season for returning late from a
trip to Belgium after he lost his passport, while his preference for
César Azpilicueta over Ashley Cole at left-back has clearly been
influenced by his reservations about Hazard's team play.
Mourinho's critique of Hazard will be of particular interest to
Paris St-Germain, who are keen to bring him back to France this
summer.
PSG, though, have just been sanctioned for breaches of Uefa's
Financial Fair Play regulations and would struggle to make such a
major signing this summer. Mourinho is also adamant that
Hazard will stay and stressed that he was not offended by the
former Lille playmaker's remarks about Chelsea's style.
"I listen to the interview," said Mourinho. "There was nothing
critical in what he said. There is nothing there." Despite agreeing
that he was "not happy" with parts of Hazard's game, Mourinho
did also highlight both his young age and considerable
development. Hazard has been Chelsea's most creative player
and, having been shortlisted for the PFA's Player of the Year
award, was named Young Player of the Year last Sunday.
"Eden's had a good season, and an improvement," said
Mourinho. "I think he was brought to a different level. Remember
the performance at Man City, which was a very complete
performance? I have no problem with him. He's a young guy. His
evolution was fine. Does he still make mistakes? Of course he
still makes mistakes. It was the first time in his life he'd played a
Champions League semi-final. It's a career that's he's just started.
Of course he understands."
Mourinho still fully expects either Manchester City or Liverpool
to win the Premier League but, at the end of what would be his
first full season in management without a trophy, he gave a
detailed defence of his record.
"I'm going to tell you something, a bit of the history of my
career," said Mourinho. "My career reached, at Inter, the
maximum you can reach when you win everything. In 2010 I won
everything. After that, this is the history of my career. In the first
season [with Real Madrid] I won the cup against the best team in
the world [Barcelona] and finished second in the league after the
best team in the world. The next season I was league champion
against the best team in the world, the champions of the records
- 100 points, 126 goals, the record team - and we won that
league.
"In the third season we won every match against the best team in
the world, in the league, the Super Cup, the Cup. We lost the
league, finished second, and we lost the Champions League semi-
final by one goal. And the fourth season, which is this one, and
probably the first where I don't win a single trophy, I go to the
Champions League semi-final and fight for the title until the last.
So these are the four bad seasons of my career."
Asked where it all went wrong, he added: "It went wrong by going
year after year like nobody else did. You arrive at a level where
finishing second is not good, losing a semi-final is not good. So
I'm proud of that. Proudly guilty of that."

Prince nordy


Posted via Blogaway

Juventus miss Turin date after Benfica knockout

Juventus missed a chance to play the Europa League final at
home after Portuguese club Benfica eliminated them 2-1 on
aggregate following a 0-0 draw in the second leg. Sevilla
snatched a place in the final when a 94th-minute Stephane Mbia
header put them through on away goals after their semi-final tie
against Valencia ended 3-3 on aggregate on Thursday. Despite
going down 3-1 at Valencia’s Mestalla stadium, Mbia’s dramatic
late goal set up a final showdown with Benfica on May 14.
Sevilla were favourites to advance against their La Liga rivals after
winning last week’s first leg 2-0 at home but a 14th-minute
Sofiane Feghouli strike, an own goal from goalkeeper Beto in the
26th and a Jeremy Mathieu effort 21 minutes from time put
Valencia 3-0 ahead on the night and 3-2 ahead overall.
They were just over a minute away from going through when
Federico Fazio flicked on a long throw and Mbia rose to crash a
header into the net and silence the Valencia fans.
Dream 52 years in making
Benfica kept alive their dream of a first European trophy in 52
years after a goalless draw with Juventus in Turin on Thursday.
Jorge Jesus’s side restricted the Serie A leaders to a handful of
chances, despite having to play for 23 minutes of the second leg
clash with 10 men after Enzo Perez was sent off.

The away side gave Juve a scare two minutes after the break when
Rodrigo ballooned the ball over the bar from close range and
with the goal at his mercy.
Perez was sent off after receiving a second booking for a silly
foul on Arturo Vidal and his dismissal encouraged Juve to push
forward. The home fans were celebrating with nine minutes
remaining when Osvaldo tapped home Paul Pogba’s headed
knockdown, but their joy was short-lived, with officials correctly
ruling Frenchman Pogba offside.

Like our facebook page here www.facebook.com/princenordy


Posted via Blogaway

RYAN GIGS can fault loius van Gaal's managerial record...

Manchester United interim manager Ryan Giggs admits Louis van
Gaal has the right credentials to take charge at any of the world's
top clubs.
Van Gaal is widely expected to be appointed as United's new
permanent boss before the end of the season despite strong
support for Giggs from the team's fans and players.
While Giggs is a United legend with vast experience of what it
takes to succeed at Old Trafford, the Welsh midfielder knows he
can't match the wealth of managerial knowledge amassed by
Netherlands coach van Gaal in his long career.
Giggs, who is yet to complete his UEFA Pro Licence exams,
oversaw a 4-0 win against Norwich in his first match in charge of
United last weekend following the dismissal of David Moyes.
The 40-year-old would clearly love the chance to manage United,
but he seemed to acknowledge that won't happen immediately as
he saluted van Gaal's achievements, which include winning the
Champions League with Ajax and lifting domestic league titles at
Barcelona and Bayern Munich.
Speaking ahead of Saturday's match against Sunderland, Giggs
had nothing but warm words for van Gaal when asked about his
potential successor.
"He has a brilliant reputation," Giggs said. "He is a successful
manager in different countries. Obviously he has taken Holland
to the World Cup. He has a fantastic pedigree."
What role Giggs plays under van Gaal remains to be seen.
Giggs could coach under van Gaal, he could play for the
Dutchman or he may depart for pastures new after 24 years at
Old Trafford.
The midfielder says he will not decide his future until the end of
the season.
"My concentration is on the remaining three games and then I
will see what happens at the end of the season," Giggs said.
"I have got to decide if I want to play or not, so there is no point
thinking if I want to be an assistant or if I want to be a manager
somewhere else.
"There are so many things to think about, but that's in the future.
"I honestly don't know (what I will do).

That's what GIGS said


Posted via Blogaway

Two dar se salaam residents were reported killed...read more here

TWO people, including a fouryear- old boy, died in separate
incidents in Dar es Salaam on Wednesday. The boy, Yunus
Abidjan, a resident of Keko area in Temeke Municipality drowned
in a well. The Temeke Regional Police Commander (RPC),
Engerbelt Kiondo, said that the incident occurred around 2:45pm
when he drowned in an uncovered well.
"The boy fell into the well and was retrieved by good Samaritans
while he was still alive but he died on the way to hospital," he
said.
The body of the deceased is preserved at Temeke hospital
pending postmortem and burial.
In a separate incident, a motorcyclist identified as Athuman
Abdallah (28), died in a road accident at the Mandela Expressway
and Tabata Road junction in Ilala Municipality.
According to the Ilala RPC, Ms Marietha Minangi, the victim was
riding a Sanya motorcycle with registration number T 237 CPM
travelling from Tabata towards Buguruni area.
"The motorcyclist was knocked from behind by a DAF lorry with
registration number T 936 BNT with trailer number T 442 AWM,
which was heading towards the same direction with the
motorcycle," she said.
The body of the deceased was taken to Amana hospital for
preservation pending burial while the lorry driver disappeared
soon after the accident and the lorry is being held at Buguruni
Police Station.


Posted via Blogaway

KNOW THE MOST DANGEROUS MOUNTAINS FOR ROCK CLIMBING IN THE WORLD(ijue milima hatari zaidi kwa kupanda duniani)

Don't feel tired...its almost here

http://travel.amerikanki.com/worlds-most-dangerous-mountains-for-rock-climbing/

Share with your friends


Posted via Blogaway

KNOW THE MOST VISITED COUNTRIES IN THE WORLD(zijue nchi zinazotembelewa zaidi duniani)...

As usual just click here

http://travel.amerikanki.com/worlds-most-visited-countries/

Share with your friends


Posted via Blogaway

KNOW THE 20 PEACEFUL COUNTRIES IN THE WOLRD(zijue nchi 20 zenye amani zaidi duniani)...

Easy like always...click here

http://travel.amerikanki.com/most-peaceful-countries-in-the-world/

Don't forget to share


Posted via Blogaway

KNOW THE MOST ENCHANTING AND COLOURFULL COUNTRIES IN THE WORLD(zijue nchi zenye muonekani mzuri duniani)..

Just easy and click the link below

http://travel.amerikanki.com/most-enchanting-and-colorful-cities-in-the-world/


Posted via Blogaway

DID YOU KNOW THE 10 CITIES THAT ARE DANGEROUS TO VISIT IN THE ENTIRE WORLD?(itambue miji 10 ambayo ni hatari kutembelea duniani)...

OMG...
          Click here to view the cities that are dangerous in our world...comment anything..

http://travel.amerikanki.com/most-dangerous-cities-in-the-world/


Posted via Blogaway

Thursday, May 1, 2014

JENGO LA SHIRIKA LA NYUMBA ZA TAIFA LAUNGUA MOTO USIKU WA JANA...cheki picha hapa

Kiukwel hali inatisha maana tunashindwa kuelewa chanzo cha moto huo kwa sasa na jeshi la zima moto lilikua wapi hadi ikafikia hali hii


Posted via Blogaway

Tuesday, April 29, 2014

WATOTO WALIOKUFA KATIKA SWIMMING POOL...WAKIWA KATIKA KUFURAHIA SIKUKUU YA MWENZAO

April 27  kulitokea vifo vya watoto 3 ambao walikua na
birthday party nyumbani lakini baada ya kukamilika kwa
taratibu za party ya nyumbani waliamua kuimalizia party
hiyo hotel ya Landmark,walipofika walienda kuogelea
kwenye swimming pool ya watoto lakini baadae watoto hao
walitoka kwenye pool ile ya watoto wakaingia kwenye pool
ya wakubwa na kwa bahati mbaya waliingia sehemu yenye
kina kirefu.
Watoto wenzao walipoona wenzao wanazama walianza
kuwavuta kuwatoa nje lakini hali zao tayari zilikua
mbaya,mmoja wapo hali yake ilikua kidogo afadhari lakini
kwa bahati mbaya nayeye alifia hospital wakati akipatiwa
matibabu katika hospitali ya Masana na kufanya Idadi ya
watoto waliofariki kuwa 3 majina yao ni Janet Zacharia,Eva
na Ndimbuni.
Kamanda Kova amesema>>’Kusema kweli sio mara ya
kwanza kutokea,mara nyingi vifo vya watoto vinatokana na
uangalifu au uzembe kutoka kwa wale wanaotakiwa
kuwaangalia hao watoto wao,hizi hotel zote zenye
swimming pool lile eneo la kuogelewa basi wasiruhusiwe
watoto wadogo kuogelea au kuwe na mtu ambaye anajua
kuogelea au kuokoa ambaye yupo pale’
‘Unajua watoto wana tabia ya kuigana mmoja akiingia
akiogelea pengine anafahamu kidogo wengine wote
wanafata mkumbo wanaona wanaweza,sisi kama jeshi la
Polisi tumeamua hili kosa la uzembe kusababaisha kifo
kisheria mtu anaweza kushtakiwa kwa kuzembea kwa
kutochukua tahadhari mpaka watoto kama wale ambao
hawana hatia uwezo wao mdogo wa kufikiri au kuijiokoa’
‘Tunafatilia kwa umakini lakini jukumu la kufatilia maisha
ya watoto ni la wazazi mia kwa mia wasipofanya hivi
wakiwa hawapo makini matokeo yake ni haya watoto 3
wamefariki,tunaendelea na uchunguzi na baadae tutatoa
taarifa kamili’.


Posted via Blogaway

Tuesday, April 22, 2014

AL-SHABAAB WATOA TISHIA LA KUFA MTU DHIDI YA KENYA

Tishio la kigaidi lina kodolea macho taifa la Kenya baada
ya kundi la kigaidi lililo na makao yake makuu nchini
Somalia kuachia video nyingine kwenye mtandao wa Al-
Kataib wakitishia kutekeleza mashambulizi nchini Kenya
wakati wowote.
kwenye kanda hiyo msemaji wa alshabaab aliye jifunika
uso anasema kwamba hawaoni lolote litakalo wa zuia
kuingia Kenya hasa baada ya kufanikiwa kutekeleza mauaji
katika jengo la west Gate. mwaka uliopita>>’tumekuwa
tukisema tutafika Kenya lakini hivi tayari tushafika si eti
westgate ndio tosha bado kuna mamia na mamia ya watu
wanaongojewa mahala kama hiyo insha Allah’alisema
msemaji huyo.
Huku wakiimbia tutawalipua hadi tuwamalize wanamgambo
hao wamesema kwamba wameamua kuungana na
wasomali kutetea dini ya Allah,Wadadisi wa maswala ya
kiusalama wanahoji kwamba huenda hawa ni baadhi ya
vijana kutoka kwa mataifa ya Afrika mashariki walipewa
mafunzo ya itikadi kali na baadaye kupelekwa somalia
kujiunga na Alshabaab kutokana na wanavyozungumza
lugha ya Kiswahili kwa ufasaha kwenye video hiyo.
Ispekta mkuu wa polisi nchini Kenya bwana David kimaiyo
amesema uchunguzi umeanzishwa kubaini chanzo cha
video hiyo na taarifa kamili kutolewa punde tu watakapo
pata habari zaidi kuhusiana na video hiyo.

EE MUNGU TUJALIE AMANI WAJA WAKO


Posted via Blogaway

BAADA YA TUZO...WEMA APATA COMMENT NEGATIVE...nae ajibu kwa mkwara instagram..

Hata masaa 24 hayajapita tangu akabidhiwe tuzo yake ya
sexiest girl tayari inaonekana ameshakutana na negative
comments baada ya kushinda hiyo tuzo.
Kwenye mashindano hayo alikuwa na warembo wenzake
Jokate,Lulu,Nelly Kamwelu,Jackline Wolper hatimaye
alifanikiwa kushinda tuzo hiyo.
Wema ametumia ukurasa wake wa instagram kutoa yaliyo
moyoni mwake na ameandika,
“If u got it flaunt it….. Ndo nshashinda…. kama hujapenda
kasage chupa kunywa…. maana naona sasa its too much
khaaaaaaaa.!
Ebu mnitue mie mtoto wa watu… And again much love to
y’all dat support me… nawapenda sana…. nimemaliza….
Award yangu ndo hiiiiiiiiooooooooo…… next year tusubiri
mwingine.
Nalala zangu…. tukutane kesho…. najua wengi mnanipenda
ni wachache wenye vijiba vyao vya roho…. Wema atabaki
kuwa Wema tu… Bhaaaaas.”

WEMA hatak mchezo kwakwel


Posted via Blogaway

Sunday, April 20, 2014

STORY...

Story: BATA MREFU 3
Writter: ALNORD SPORTIEVE
Contact: 0655415200

ILIPOISHIA SEHEM YA 2

Walipita chalinze,morogoro,kibaha hatimaye wakaingia UBUNGO
BUS TERMINAL ambapo ALNORD ndio alichanganyikiwa kabisa
kwani aliyaona majengo makubwa(maghorofa) ambayo alikua
akiyaona kwenye TV tu kule kijijini kwao kwenye mabanda ya
video...
Alihamaki sana had ilibak kidogo agongwe na gari pind
walivokua wanavuka barabara ndipo CHUMA akaona ni bora
achukue tax maana hali ile ilionyesha wazi kabisa kua angeweza
kupata aibu mjini pale...ndani ya lisaa limoja na nusu walifika
nyumban kwa baba ake mkubwa(MR. ABDALLAH
CHUMA)...ambapo alipokelewa kwa furaha sana...na wakampa
mizigo HOUSE GIRL wa pale nyumban...nae akaketi seblen
akisubiri nin kinafuata

ENDELEA
...Alnord alikua akiangaza macho huku na kule ndan ya nyumba ile ambayo kiukwel ilikua ni ya kifahari...hakuweza kufikiria kua atakuja kuiona nyumba nzuri kama ile...sio siri alizubaa kiac kwamba hata kaka yake alivokuja kumuita pale seblen ili akamuoneshe chumba atakachokua analala hakuweza kumsikia had alivompiga begani ndipo akashtuka...

"Dogo mbona umezubaa hivo ndugu yangu? Twende nkakuonyeshe chumba chako kule" alisema CHUMA baada ya kumshtua ALNORD ambae mawazo yake yalimpeleza had akahisi yupo kule kwa obama anaishi maisha ya kizungu baada ya kuona furniture nzuri sana na zilizoonekana ni za gharama...

"Ha..ha..hapana kaka nilikua nakumbuka safari yetu ilivokua ndefu...ila sio siri nyumba yenu ni nzuri sana...yani mi nilidhan na huku nyumba zote ni za udongo kama kijijin kwetu".    Alizuga vile ALNORD huku akiinuka na kumfuata kaka ake ambae alikua ametangulia mbele kidogo...mpaka walipofika kwenye chumba kimoja ambacho kilikua ni self contained...yan choo na bafu ndani,TV na makolobwezo kibao...kilikua ni kizuri sana kwan pia kilikua na sofa set moja ya kawaida..

"Yeleuwiiiiii....hasa kaka umenleta chumban kwa baba mkumbwa kufanya nin?" Aliuliza kijana yule ambae alikua ni mshamba kupita kiasi..

"Aaaaah dogo acha masihara...hik ndio chumba chako,halafu mlango ule pale ni choo,na bafu ipo mulemule...vyote unavyoviona katika chumba hiki kua huru kukitumia na usisite kuniambia ukiwa na tatizo lolote..sawa dogo? Sasa nenda ukaoge halafu uje sebleni tule" aliongea CHUMA huku akiwa amemaliza kumuonyesha kila kitu kilichopo chumbani kule na yeye kuondoka akimuacha ALNORD mule ndan...

ALNORD hakujibu chochote zaid ya kujitupa kwenye gule gukitanda gwenye vipimo vya sita kwa sita...akiwa haamin kua atakua analala kwenye godoro tofaut na kule kijijin kwao ambako alikua analala kwenye mkeka...

Alivua nguo zake kisha akaenda bafuni kule ambako alikuta taulo jeupeeeee,sabuni ya dettol active,sink Kubwaaa ambalo kwa yeye alihisi wenda litakua bwawa lililokauka maji,na kwa pemben juu aliona bomba la mvua na koki chin yake...ambayo haikumpa tabu kujua pale panafungua maji kwan hata kijijin kwao kulikua na bomba moja la kijiji..hivo alifungua na kushangaa maji yanatoka kwa juu alimanusura akimbie ila alijikaza na kuanza kujipaka sabuni ile ambayo harufu yake ilimvutia mnooo...kisha akajisafisha mapovu na kujipukuta na taulo akatoka zake...

Hakujua apake yapi na aache yapi maana alikutana na mafuta ya aina nyingi kwenye dressing table ya chumban kwake...akaamua kuchukua kopo moja lililoandika VASELINE MEN na akajipaka,akabadili nguo zake na kuvaa nguo alizozikuta kitandan kwake na kujua kua kaka yake ndie aliemletea..kiukwel nguo zilipendeza sana mwilin mwa ALNORD hasa ukuzingatia alikua na sura nzuri,pia t-shirt ilimbana na kuonesha kifua chake kilichojaa vizur...

Basi akatoka zake na kuelekea seblen...kwa bahat mbaya kutokana na wingi wa milango ya vyumba na ugeni wake akajikuta badala ya kuingia mlango wa seblen aliingia kwenye chumba cha HOUSE GIRL ambae alikua mtupu kama alivozaliwa kwan alikua ametoka kuoga...
*******

Baba yake alimuandalia kila kilicho cha muhimu katika safari yake ambako alikua anaenda kukaa peke yake(kujitegemea)...aliviandaa kwa siri kwani aliogopa kama mke wake angeviona ingekua balaa jingine kwani alikua hampendi MARRY..

MARRY alienda kwaakina ESTER ili kumjulisha juu ya safari yake..alipofika kule alimkuta ESTER na baba ake wanajadili kuhusu ESTER kwenda DAR kufungua SALOON YA KIKE...baba ake alitaka mwanae akakae kwa baba yake mdogo ambae anaishi MBAGALA jijini DAR...lakin baada ya MARIA kuwaeleza kua nae anaenda kukaa huko dar kwenye nyumba ya marehemu mama ake ndipo wakaona ni bora wakakae wote huko kwani walikua ni marafiki toka utotoni mpaka sasa wote wamefeli kidato cha nne..

Walikubaliana na maandalizi yalipokamilika wakasafirishwa wao na vitu vyao hadi DAR ambapo walifika salama....kwakua nyumba ile hakuishi mtu kwa mda mrefu hivyo walianza kufanya usafi huku vyombo vyao vikiwa nje na walomaliza wakaingiza ndani na kuvipanga katika mpangilio mzuri ambao unadhihirisha kua usafi na ustaarabu unachukua nafasi yake kwa wasichana wale ambao kiuhalisia walikua wazuri tena sio ule uzuri wa make up..ulikua ni uzuri wa asili kwani MARRY alikua ni mweusi kiasi yan ule weusi wa kung'aa,umbo lake zuri na macho madogo ya kijivu na ESTER alikua na ngoz ya maji ya kunde,umbo modo lakin lile lenye mvuto..

Wakiwa wanamalizia kutandika kitanda na sofa mlango uligongwa kistaarabu kidogo....

#ITAENDELEA panapo majaaliwa


Posted via Blogaway

WAUMINI NCHINI KENYA KUSAFISHA BARABARA KWA SABUNI...

Kupitia vyanzo vyetu nchini Kenya riporter wetu anaripoti
kwamba wakazi wa jiji la Eldoret wamemfanya kila alieiona
hii kuvutiwa na pengine kujua imekuaje wakafanya hivi kwa
mara ya kwanza baada ya kujitosa na kupiga deki barabara
ya lami ya Oginga Odinga jijini Eldoret kaunti ya Uasin
Gishu nchini Kenya.
Unaambiwa wameamua kufanya hivi ikiwa ni maandalizi ya
kumlaki nabii Daktari Awuor kwa ajili ya maombi ya leo na
siku ya Jumatatu kuadhimisha pasaka na kumshukuru
jehova kwa kuwasaidia jiji la Eldoret kufanyika uchaguzi wa
amani mwaka 2013
Hata hivyo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii maoni
yalikotolewa na Wakenya kuhusu hii ishu, maoni mengi
yameonekana kupinga kitendo cha waumini hao wa kanisa
la Jesus is lord kwa kumpa Daktari Awuor heshima kupita
kiasi.
Mkurugenzi mkuu wa Kass media inayo miliki Radio ya
kass fm inayotangaza kwa lugha ya kikalenjin
inayozungumzwa na wakazi wa jiji la Eldoret Julius lamaon,
amesema ‘watu wetu waache kupotoka, jiji letu
limebadilishwa na kuwa jiji la vituko…… Gavana hatakiwi
kuhudhuria mkutano huu’


Posted via Blogaway

STORY: BATA MREFU-SEHEMU YA PILI

Story: BATA MREFU
Writter: ALNORD SPORTIEVE
ILIPOISHIA SEHEMU YA 1
Basi ALNORD alimaliza kujiandaa akiwa kavalia nguo zake
alizonunuliwa katika kusherehekea kuvuka mwaka mpya ali
maarufu kama NEW YEAR na kwenda nje ambapo alikua
akisubiriwa na kaka yake huyo...
Alifika pale na kupewa baraka na wazazi wake huku wakimsihi
kua mwaminifu katika biashara ya baba yake mkubwa na pia
kuwa mnyenyekevu na mtiifu pindi awapo nyumbani kwa baba
yake mkubwa....mama ake alimsisitizia sana kuhusu swala la
kujifanya mjinga kwa kila atakachoambiwa na pia kuepuka
kujiingiza katika mapenzi kwani walikua wakisikia kua dar es
salaam kulikua na vishawishi vingi ambavyo vingepelekea
kupata maambukizo ya UKIMWI...walimsihi sana maana
hawakupenda mwanao wa pekee ambao walimpenda kupita
maelezo kwani ndiye waliebarikiwa na MUNGU...
Alnord aliahidi kuyazingatia hayo kisha wakaagana na huku
wazazi wake wakimpa mikono ya kheri kuashiria kua wanamtakia
safari njema..
ENDELEA
Safari ilianza ambapo walienda kwenye stand ndogo ya pale
MFUMBI ili kuvizia mabasi yatokayo MBEYA maana pale hapakua
na stand kubwa kusema kwamba wangekata ticket ofisin..hasa
ukizingatia kile ni kijiji kidogo sana...
Walisubiri sana pale,baada ya kusimamisha mengi yao bila
mafanikio hatimae mnamo saa mbili kamili walifanikiwa
kupanda bus(ABOOD) ndipo safari ikaanza rasmi..walikata ticket
dakika chache baada ya kuingia ndani ya bus hilo...safari yao
haikua nzuri kiasi kwa upande wa ALNORD maana dereva alikua
akiendesha kwa mwendo kasi kidogo kitu kilichomfanya
ALNORD awe mwoga kwani hakuwahi kupanda mabasi makubwa
zaidi ya daladala na coaster ambapo ilikua nadra pia..aliweza
kupanda magari hayo madogo ya abiria iwapo yeye,mama yake
na baba yake wanaenda LEMBUKA(MNADANI) kununua mahitaji
hasa kipindi ambacho sikukuu zinakaribia,kama tunavyojua
watu wengi hupenda kuvaa nguo mpya kila sikukuu kama
mwanafunzi apendavyo uniform mpya ikiwa ni pamoja na
mahitaji yake yote ya shule pindi shule zinapofungua....
*************
""Marry mwanangu,najua ni kipindi kigum kwako..ila usikate
tamaa mwanangu kwani ni moja ya matokeo...chukulia kama
changamoto na inakubid ukabiliane nayo na sio kumwaga
michoz kwan hata ukijaza jaba huwez kubadilisha
matokeo...kufeli shulen sio kufeli maisha...""
Ilikua ni baba ake MARIA C. NGWILLA akimpa moyo mwanae
baada ya matokeo ya kidato cha nne kutoka na kuonesha kua
mwanae MARIA amepata div. 4 ya alama 38 kitu ambacho
kilimfanya mwanae awe mtu wa kulia tu...ndipo akaamua
kumuita na kumpa moyo...
""Lakin baba we mwenyewe unajua jinc gan nilikua nna uwezo
darasan halafu mwishon matokeo yanatoka kama haya kwel
unadhan mi najickiaje?? Hasa ukizingatia huyu mke uliemuoa
baada ya mama kufa anavoninyanyasa hapa nyumban...ntakuaje
na furaha...yan kila cku ananiambia mimi nishinde apo grocery
niuze halafu mwisho wa siku anasema mi namuibia!!! Mi baba
nimechoka bora niende kukaa kwaakina ESTER tu..""
MARRY alimjibu baba ake maneno mfululizo yenye ukweli ndani
yake kwa sauti ya huzuni iliyoambatana na kilio cha kwiwi
ambayo yalionyesha taswira ya maisha ya tabu alioishi MARRY
pale nyumban kwao baada ya MAMA yake mzazi kufa na baba
yake kuoa mke mwingine ambae kiukweli alikua akimnyanyasa
mtoto huyu amba alitoka kuhitimu kidato cha nne katika shule
ya sekondari EDUCARE ndipo akarudi kwao ambako akakutana
na maisha yale ya shuruba...huku akisisitiza kwenda kukaa kwa
rafiki yake ambae walisoma nae shuleni huko na kua marafiki
wakubwa kiasi kwamba alikua na uwezo wa kwenda kukaa huko
bila kipingamizi kutoka kwa wazazi wa ESTER...
Baba yake alihuzunika sana hadi akafikia hatua ya kutoa machozi
kutokana na maneno yaliomuumiza haswa...ndipo akaona ni
bora amhamishe mwanae na kumpeleka DAR ES SALAAM
ambako kuna nyumba alioacha mkewe ili akaisimamie huku
yeye akikaa nyumba ya ndani na pesa ya wapangaji aitumie
kufanyia kitu kitakachomjengea maisha mazuri...
Walikubaliana na mwanae huyo wa mwisho kati ya wanne
ambao ni wakike wawili na wa kiume wawili... mipango ya safari
ilianza...
******
...safari iliendelea huku CHUMA akimuonesha mdogo wake
huyo mshamba kila kituo walichopita ikiwemo
MAKAMBAKO,IRINGA,RUAHA MBUYUNI hadi waliposimama
katika hotel ya ALJAZEERA ili kupata chakula cha mchana...
Walishuka na kwenda kununua chakula huku ALNORD
akishangaa sana mazingira ya hotel ile ikiwa ni pamoja na
vyakula vizuri...
Walirud kwenye gari had mda wa kuendelea na safari ulipofika
na dereva akakanyaga gear.. #vuuuuuuum wakaianza mikumi
ambapo ALNORD alidhihirisha wazi kua yeye ni mshamba
maana alishangaa huku akipiga kelele kwa saut kumuuliza kaka
ake sehemu ile ni nin had alipoambiwa kua ni HIFADHI YA
MBUGA YA WANYAMA hapo angalau alitulia...
Walipita chalinze,morogoro,kibaha hatimaye wakaingia UBUNGO
BUS TERMINAL ambapo ALNORD ndio alichanganyikiwa kabisa
kwani aliyaona majengo makubwa(maghorofa) ambayo alikua
akiyaona kwenye TV tu kule kijijini kwao kwenye mabanda ya
video...
Alihamaki sana had ilibak kidogo agongwe na gari pind
walivokua wanavuka barabara ndipo CHUMA akaona ni bora
achukue tax maana hali ile ilionyesha wazi kabisa kua angeweza
kupata aibu mjini pale...ndani ya lisaa limoja na nusu walifika
nyumban kwa baba ake mkubwa(MR. ABDALLAH
CHUMA)...ambapo alipokelewa kwa furaha sana...na wakampa
mizigo HOUSE GIRL wa pale nyumban...nae akaketi seblen
akisubiri nin kinafuata
#ITAENDELEA panapo majaaliwa


Posted via Blogaway