Tuesday, April 22, 2014

BAADA YA TUZO...WEMA APATA COMMENT NEGATIVE...nae ajibu kwa mkwara instagram..

Hata masaa 24 hayajapita tangu akabidhiwe tuzo yake ya
sexiest girl tayari inaonekana ameshakutana na negative
comments baada ya kushinda hiyo tuzo.
Kwenye mashindano hayo alikuwa na warembo wenzake
Jokate,Lulu,Nelly Kamwelu,Jackline Wolper hatimaye
alifanikiwa kushinda tuzo hiyo.
Wema ametumia ukurasa wake wa instagram kutoa yaliyo
moyoni mwake na ameandika,
“If u got it flaunt it….. Ndo nshashinda…. kama hujapenda
kasage chupa kunywa…. maana naona sasa its too much
khaaaaaaaa.!
Ebu mnitue mie mtoto wa watu… And again much love to
y’all dat support me… nawapenda sana…. nimemaliza….
Award yangu ndo hiiiiiiiiooooooooo…… next year tusubiri
mwingine.
Nalala zangu…. tukutane kesho…. najua wengi mnanipenda
ni wachache wenye vijiba vyao vya roho…. Wema atabaki
kuwa Wema tu… Bhaaaaas.”

WEMA hatak mchezo kwakwel


Posted via Blogaway

No comments:

Post a Comment