Wednesday, April 9, 2014

KATIKA KUADHIMISHA SIKU HII YA KIFO CHA KANUMBA,LULU AFUNGUKA

Leo ni siku muhimu ya kumuenzi The late Kanumba(KANUMBA THE GREAT) wapo wasanii
na watu maarufu walioonyesha hisia zao katika siku hii ya
kumuenzi kanumba kutokana na mapinduzi makubwa na jitihada
zake alizozionyesha katika sanaa ya uigizaji. kwa maneno
machache Lulu amemuezi hivi!!
Nukuu "Bado siamini kama mwaka wa pili unakatika bila kukuona
wala kukusikia baba...!! ila naamini bado tupo wote kiroho na
Ninaamini zaidi nafsi yako huko ilipo inasimama kunitetea na
kunipigia, inaweza kunichukua miaka na miaka kukuelezea,,.. u
still liv in me daddy and your dearly missed .... R.I.P daddy
angu." alimalizia kwa kusema hivo.


Posted via Blogaway

No comments:

Post a Comment