Friday, April 4, 2014

LULU AIMBA WIMBO WA BASI NENDA KATIKA SAUTI YA KIMAHABA...

Mtoto Mrembo Elizabeth Michael "Lulu" akiimba wimbo
"Basi Nenda" kwa pozi kali la Kimahaba.
Jamani huyu mtoto ni shidaaa sana.... kabarikiwa sauti
na uzuri pia..na ameonekana akiimba wimbo huo wa basi nenda na kuacha gumzo kwa mashabiki wake na watanzania wote kiujumla...chanzo hiki cha princenordy hakikuweza kupata sababu ya mrembo huyu kufanya hivi...

Wewe wasemaje kuhusu hili?


Posted via Blogaway

No comments:

Post a Comment