Friday, April 11, 2014

DIMPOZ NA WEUSI KUFANYA KAZI MOJA......

Kutokana na ile ishu ya wizi wa vitu mbalimbali kwenye
gari la Ommy Dimpoz ambao ‘inadaiwa’ ulifanywa na
rapper kutoka WEUSI (Lord eyez) labda ulihisi kunaweza
kusiwe na uhusiano mzuri kati ya Ommy Dimpoz na
WEUSI.
Nakumbuka siku kadhaa baadae Nikki wa II aliongea na
Chanzo chetu na kuwaonya wale mashabiki wa Arusha
waliosambaza comments kwenye baadhi ya post za
mitandao mbalimbali, kuacha kusambaza vitisho dhidi ya
Ommy Dimpoz kutokana na ripoti aliyoitoa kuhusu hilo
tukio.
Good news kwenye usiku wa April 10 2014 Ommy Dimpoz
amepost picha akiwa studio na WEUSI ambao ni G Nako na
Nikki wa II na kuandika haya maneno yafuatayo hapa chini
ambayo yanaonyesha uhusiano wao uko poa kwa sasa.


Posted via Blogaway

No comments:

Post a Comment