Friday, April 4, 2014

HIVI NDIVO SHOW MPYA YA DADA WA DADA AKE RAPA VICTORIA KIMANI ITAKAVOKUA....

Dada wa Rapa Bamboo wa Kenya Victoria
Kimani ameanzisha reality show yake ambayo
itakua na baadhi ya show alizowahi kuzifanya
kipindi cha nyuma,interviews za radio na
wakati wa kurekodi studio (studio session).
Reality show hii mbali na kuonekana kwenye
king’amuzi pia itaonekana kwenye kwenye
chaNnel yake ya Youtube kila wiki,tarehe
rasmi ya kuanza kuonekana ni April 08 na
zitaanza kuonekana kuanzia Jumanne kupitia
Youtube,jina la show hii inaitwa The rise of
the Queen.
Hivi ndivyo itakavyokua.


Posted via Blogaway

No comments:

Post a Comment