Tuesday, April 1, 2014

CHRISS BROWN NA MPENZIWE MPYA WAZUA JAMBO..»»princenordy

Ukubwa wa jina lake pamoja na matukio
yanayomuandama ndio unamfanya afatiliwe
kwa karibu na kutengeneza stori kwa kila
anachokifanya hata kama ni kitu cha kawaida.
Stori ya sasa ya Chris Brown ni maongezi
aliyoyafanya na mpenzi wake aitwae
Karrueche ambae wamekua wakiandikwa
kwamba wameachana.
Breezy kwenye haya maongezi aliwashukuru
mashabiki wake ambao wamekua wakimpa
support wakati wa shida na raha ambapo
baada ya kuwashukuru fans, kitu kilichobaki
ambacho alisema ni muhimu ni kumwambia
Karrueche kwamba anampenda.
Najua kwa wanaofatilia stori za Chris Brown
hii ni kubwa kwao hasa kutokana na kusikia
maneno mengi kuhusu kuvunjika kwa
uhusiano wa wawili hawa.


Posted via Blogaway

No comments:

Post a Comment